Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
nipo hapa mkuu, haya shemeji Passion Lady sogea hapa basi
ndio tunaingia kanisani uko wapi manoah
Last edited by a moderator:
ndio tunaingia kanisani uko wapi manoah
ndio nimekubali
kwny shida na raha
mpaka kifo kitutenganishe!
nami nakubali kwa moyo wotePassion Lady umekubali kuishi na Tonykp katika hali zote za kimaisha na kua mtiifu kwake?
nami nakubali kwa moyo wote
nashangilia tukio hili jema kabisa..ila tu sikujua my love manoah ana kibali cha kufungisha ndoa umu ndani
hahaha yeye ndio tumempa hayo madaraka awe padri wetu katka ndoa yetu