Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

mimi wala sijaolewa swr
manoah kaiba paswedi yangu
ndio anajifanya mimi
love u alot honey wanajishaua tu!

 
Last edited by a moderator:
teh teh teh.....kijana tuliaaaaaa.... mpaka nakuonea huruma aiseee... yaani mishe mishe kama pimbi yaani zote hazizai matunda manoah:dance:
sasa Donn hivi bado hujaoa sio???
 
Last edited by a moderator:
Sina tatizo na ndoa hila nina simama kwenye sheria ya kwamba anayetambulika kufungisha ndoa hapa ni Baba V

Na kinyume na hapo ndoa hiyo ni batili kabisa! Maana hata tangazo la ndoa alijaonekana kabisa!

Natoa ushauri kwa wahusika kufata utaratibu!

katiba ilisha badilishwa. uko wapi ww? ????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom