Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Napanga program ya kummaliza kabisa yule mkulima wa ndizi
utamuweza???!!
Napanga program ya kummaliza kabisa yule mkulima wa ndizi
utamuweza???!!
nini??!!
loya kisiki cha mpingo!
humuwezi hata kwa greda!
byeeeee!b'dae!
Poa poa badae shemeji na mie acha niingie kulala
Allaaaaah ile ndoa unafikiri mchezo????Shemeji naona upoo
hivi mkuu unaweza niambia kwanini umentenga kiasi hiki? acha kunibania bana!. nipe tano tukionana peace and love tukiagana coz kuchuniana haina maana, inapobidi pm zinatuhusu. mambo vipi mkuu?. nlikumiss sana!. mia
My foootHow are you lov?
My fooot
You should cut it off
Ruttashobolwa wewe ni jamaa yangu wa karibu ref. Madame B.
Najua unampenda Passion Lady ila bora tu utafute mwingine kwani inaonekana wanakuzuga tu kwani manoah keshawafungisha ndoa
Mkuu Arushaone ni kheri umemuambia tu, yeye afanye utaratibu wa kurudiana na Madame B ila kwa Passion Lady amechemka kwani anampenda sana Tonykp
Hahahahahahahahahaha
my Passion Lady namsumbiri athibitishe hili.