Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

teh teh teh.....kijana tuliaaaaaa.... mpaka nakuonea huruma aiseee... yaani mishe mishe kama pimbi yaani zote hazizai matunda manoah:dance:
 
Last edited by a moderator:
Sina tatizo na ndoa hila nina simama kwenye sheria ya kwamba anayetambulika kufungisha ndoa hapa ni Baba V

Na kinyume na hapo ndoa hiyo ni batili kabisa! Maana hata tangazo la ndoa alijaonekana kabisa!

Natoa ushauri kwa wahusika kufata utaratibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom