Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Asante semegi langu!
Fia hapohapo, yawezekana jamaa anajipikilisha!
Dreaaaaaaaaaaaaaammms
acha wazidi kuota tu swr!
na huyu@hiroaki atakua jasusi kwny ndoa za watu!
Utabadili nomino mpaka lini? ??Ngoja niombe wanipe jina langu la ban, toka nimebadili nomino sipigwi ban
Mbona kama namuonea huruma si unajua ni mzigo hule maana kama kumpa tuna mpa kilo 10 kweli hata weza kubeba?
Utabadili nomino mpaka lini? ??
acha wazidi kuota tu swr!
na huyu atakua jasusi kwny ndoa za watu!
mpaka pic ya uongo dah!kweli tuna maadui wengi!
Sijui lini' Passion Lady ameamka salama?
Yupo poa kabisa anatengeneza breakfastSijui lini' Passion Lady ameamka salama?
haha!!!!nimeamka salama salmini
namuandaa loya wangu aende kwa job!
Yupo poa kabisa anatengeneza breakfast
Bby unanipa stress na huyo loya wako !!!!morning!mzima ww
habari ya kwako!
Kweli nimeamini ww ni FBIUnafaidi eeh! nyie mmelala pamoja, unajua kwanini mmeingia hapa jamvini pamoja
Bby unanipa stress na huyo loya wako !!!!
Kweli nimeamini ww ni FBI
usijali Ruttashobolwa wangu kaamka salama kabisa!
labda FBI wa kutumia tunguli
hana lolote huyo!nimelala naloya mie mshindwe!