Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,hizo mbao ndiyo utumie 100kg ya misumari ya kenchi na hizo bati ndiyo misumiri kg 50?
Kwenye misumar fundi kakupiga.. 25kg inatosha na itabki ya bati Pia jitahidi ya Ken hi haiwezi fika kg 100...?? Jithid simamia shoo mwenyewe kipindi Cha upauaji. Tenga muda ukiwa free utanishukuru baadaye.Mkuu,
Fundi nd'o ameniandikia hivyo,
Sijapunguza wala kuongeza chochote.
Kwa kuwa huu nd'o ujenzi wangu wa kwanza,
Naomba unielimishe ambapo kuna utofauti mkubwa ili nisije kupata hasara.
Waheshimiwa,
Nipo katika ile hatua ya kuumiza kichwa,
Fundi ameniandikia vifaa vinavyohitajika,
Naomba mnijuze bei ya items namba 1 hadi 8, hasa ndugu zangu wafanya biashara wa hardware Dar.
View attachment 2123162
View attachment 2123163
Ahsante sana mkuu kwa kunipa mwongozo wa bei za vifaa.BEI YA ULIVYOTAJA (bei hiii ni ya hapa nilipo *moja ya mikoa kanda ya ziwa)
bati migongo midogo.... inategemea na kampuni.... alafu 37-38 (k) kwa bati moja, kiboko 30-32 (k) sunshare anabei kama alaf, ando kwa aina ya bati u ayohitaji ni 48k/pcs (zote ni geji 30. kwa bati za kawaida bati 140 Ni kama bando 8 au 9 ambapo mpaka mwezi december alafu alikua anauza 270k kwa bando la bati 16 geji 30
mbao 2/4=5000/5500, 2/2=2500 hadi 3000, 1/8=11000-12000. bei hizi inategemea na eneo Arusha mjini bei ni mara mbili ya hizo.
misumari ya kech 1kg = 3000/3500
misumari ya bati inatemea ya kawaida =5000/kg ya rangi ni 8000-10000 (unaweza kununua kimfuko kizima kg 25 ila wakipime kabisa uzto) utaokoa kama 20k+
wire kench 4000
mirunda sijui ninya nini kwa kazi yako ila itarange 3000-5000
BEI HIZI HUBADILIKA KULINGANA NA MAENEO NA UWEZO WAKO WA KUONGEA (UJANJA WAKO)
Mkuu,Kwenye misumar fundi kakupiga.. 25kg inatosha na itabki ya bati Pia jitahidi ya Ken hi haiwezi fika kg 100...?? Jithid simamia shoo mwenyewe kipindi Cha upauaji. Tenga muda ukiwa free utanishukuru baadaye.
Duu bati zina paa tu🙆BEI YA ULIVYOTAJA (bei hiii ni ya hapa nilipo *moja ya mikoa kanda ya ziwa)
bati migongo midogo.... inategemea na kampuni.... alafu 37-38 (k) kwa bati moja, kiboko 30-32 (k) sunshare anabei kama alaf, ando kwa aina ya bati u ayohitaji ni 48k/pcs (zote ni geji 30. kwa bati za kawaida bati 140 Ni kama bando 8 au 9 ambapo mpaka mwezi december alafu alikua anauza 270k kwa bando la bati 16 geji 30
mbao 2/4=5000/5500, 2/2=2500 hadi 3000, 1/8=11000-12000. bei hizi inategemea na eneo Arusha mjini bei ni mara mbili ya hizo.
misumari ya kech 1kg = 3000/3500
misumari ya bati inatemea ya kawaida =5000/kg ya rangi ni 8000-10000 (unaweza kununua kimfuko kizima kg 25 ila wakipime kabisa uzto) utaokoa kama 20k+
wire kench 4000
mirunda sijui ninya nini kwa kazi yako ila itarange 3000-5000
BEI HIZI HUBADILIKA KULINGANA NA MAENEO NA UWEZO WAKO WA KUONGEA (UJANJA WAKO)
Huhitaji kwenda mpaka kiwandani, labda wakati wa kwenda kuchukua mabati baada ya kutoa order (Alaf). Hawa Alaf wana ma sales manager karibu kila wilaya za DSM, jaribu kwenda kwenye page zao za social media wana contacts zao huko. Hata sunshare nafikiri ni hivi hivi.Ahsante sana mkuu kwa kunipa mwongozo wa bei za vifaa.
Hawa ALAF, SUNSHARE, KIBOKO na DRAGON viwanda vyao viko maeneo gani kwa DAR ES SALAAM?
Nataka nitembelee huko labda nitapata unafuu wa gharama.
Ahsante sana mkuu.Huhitaji kwenda mpaka kiwandani, labda wakati wa kwenda kuchukua mabati baada ya kutoa order (Alaf). Hawa Alaf wana ma sales manager karibu kila wilaya za DSM, jaribu kwenda kwenye page zao za social media wana contacts zao huko. Hata sunshare nafikiri ni hivi hivi.
0768555560, huyu nafikiri ni sales manager wa Kariakoo Alaf. Pale mwenge pia wana ofisi
Huyu aliepaua hak kanyumb una no zake?mkuu, kwa makadirio hayo nakisia nyumba yako kuwa ya vyumba vitatu, jiko labda na dining (nakisia).....
NB. nakadiria ukubwa huo wa nyumba kwa kuangalia idadi ya mzunguko wa mbao za 1/8
niliyoyaona kwa hayo makadirio.
1- hakuna uwiano wa mbao alizokwambia ya yani 2/4 na 2/2 haziwiani.
2 - kwa aina ya bati unazotumia hizo mbao ni nyingi mnoo mbao 370.... HAPANA kwa kuangalia idadi na aina ya bati.
3 - misumari kg 100 HAPANA ni mingi mnooo pia hujaeleza ni za nchi ngapi
4 - kench wire ni chache atleast 6 sawa
5 - kg 40 ya misumari ya bati itabaki kwa idadi ya bati
6 - kama nyumba yako ina mzunguko wa 9 kwa 11 au 10 kwa 11 (nahisi) hizo bati zitabaki unless upo kanda ya ziwa ambapo bati hunyanyuka sanaaa.
USHAURI
1. Tafuta mafundi zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti wakufanyie makadirio utapata picha halisi.
2. kama unamuamini fundi wako sawa ila kama lengo ni kumpa hela akanunue hayo yote anaweza kukupiga zaidi ya nusu ya gharama
3. simamia kila hatua.
4. unaweza kupunguza gharama kwa kununua mbao chache za 2/4 kwa ajili ya kechi kuu za nyumba kisha ukanunua 2/3 zisaidiane na 2/2 kunanbaadi ya maeneo hawatumii kabisa 2/4 kwa sasa.
5. sio kila mbao ina kazi kwasababu tu imegongwa juu na fundi, fundi anaweza kukukomoa kwa sababu mambao yanabaki mengi akaamua kuyajaza tu na kuyagongea sapoti mwisho jengo linabeba mzigo usio wa lazima
Note: mimi sio fundi.
View attachment 2123469
Mpigie Fundi Uledi; 0694334545Waheshimiwa,
Nipo katika ile hatua ya kuumiza kichwa,
Fundi ameniandikia vifaa vinavyohitajika,
Naomba mnijuze bei ya items namba 1 hadi 8, hasa ndugu zangu wafanya biashara wa hardware Dar.
View attachment 2123162
View attachment 2123163
Nyumba ya vyumba vingapi hiimkuu, kwa makadirio hayo nakisia nyumba yako kuwa ya vyumba vitatu, jiko labda na dining (nakisia).....