Nipo hatua ya kupaua, nijuzeni bei ya vifaa hivi kwa Dar

Ni hizi bati za wachina, zinaitwa Sundar.
Nina uhakika soon zitapauka hizi.
Bei ni 26,500/-.
Hahahaha mkuu umenichekesha kweli yani umeshajipatia uhakika kuwa lazima zipauke haya
Me nmeweka Sun share nazipigia hesabu
Maana nilivyoambiwa Alaf nikajibu bati ni bati tuu
 
Hizo bati nasikia bei haipishani sana na ALAF
 
Alaf milolongo ni mingi niliambiwa nikae nasubiri order miezi miwili mbele me hela ya kudunduliza me nikawaza nikavuka barabara nikaingia kwa mchina sun share beba mzigo huyo
 
Usiogope mkuu sunshare wana bati nzuri sana tu kama Alaf. Next time ukitaka bati za alaf tumia maagent coz alaf wanaconcentrate sana na maagent wanaochukua tons of bati sasa mpka watufikie sisi wa pc 100 sio leo.
 
Ndioo nilikuja kusanuka fundi yupo kwenye Gebo anafanya kazi yake
Kwakua Ndioo mara ya kwanza haliharibiki jambo next time mambo yatakua mazuri
 
Hivi bati 100 za alaf, Vale 8, misumari pkt30 na kofia 23 sawa na shilingi ngapi jamani mwenye kujua bei
Usiogope mkuu sunshare wana bati nzuri sana tu kama Alaf. Next time ukitaka bati za alaf tumia maagent coz alaf wanaconcentrate sana na maagent wanaochukua tons of bati sasa mpka watufikie sisi wa pc 100 sio leo.
 
Hivi bati 100 za alaf, Vale 8, misumari pkt30 na kofia 23 sawa na shilingi ngapi jamani mwenye kujua bei

January mwaka huu bati ya gauge 30 migongo mipana ilikua 570,000/= kwa bando ya bati 16, valley na kofia bei moja Tsh 12,000 kwa moja na misumari ya bati ya rangi kilo moja 7000.
 
January mwaka huu bati ya gauge 30 migongo mipana ilikua 570,000/= kwa bando ya bati 16, valley na kofia bei moja Tsh 21,000 kwa moja na misumari ya bati ya rangi kilo moja 7000.
Ahsante sana mkuu, nimefuatilia kwa ukaribu wa bei za sasa nimekuta bando moja ya bati 16 inauzwa 621000/= kwa bei ya kiwandani kofia na Valley bei zao ni moja 13500/= ila pkt moja ya misumari wanauza 9000/=.
Yupo ndugu yangu wa karibu huko kiwandani.

Swali kwako mkuu....

Nyumba ya vyumba vitatu viwili vya kawaida na kimoja master, choo, dining, na store ukubwa wa nyumba ni mita 12 kwa 10.

Hapa kwa uzoefu wako kaka zinaweza kuzama bati ngapi na mbao zipi na ngapi kwa uzoefu wako hii itanisaidia kujua jinsi gani ya kuishi na fundi na tathmini yako ya gharama za fundi kwa maeneo ya pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam.
 
Sio rahis kukadiria bila floor plan but nkushauri nunua bando 6 na upate fundi mzur asikate kate bati ovyo.
 
Ahsante sana, fundi ambaye kanijengea boma kanipa gharama za kupaua kasema bati 100 mbao za 2*2 ziwe150na zile za 2*4 sijui kama nimepatia hapo ziwe 100 kwa ujumla wake.

Vipi hapo ipo sawa!
Na pia naomba unisaidie kuhusu hizi bati wanazotangaza kuwa za kampuni ya Alaf zinazouzwa kwenye hardware za mitaani kwa bei ya 28000/= to 27000/= vipi zina ukweli wowote kuwa ni za Alaf
 
Your not serious mzee! How comes kiwanda kiuze bati zaidi ya 37,000 alafu agent auze bati hyo hyo 28000? Nenda kiwandani uombe jina la agent aliyepo karibu na ww (alaf maagent wao wote wapo registered) au nenda tazara opposite na bodi ya mikopo kuna hardware jina nmelisahau ni registered agent wa alaf yule! Kuhusu mbao nunua kma alivyosema fundi ila bati punguza nunua bando (6) bati 96
 
Ahsante sana, fundi ambaye kanijengea boma kanipa gharama za kupaua kasema bati 100 mbao za 2*2 ziwe150na zile za 2*4 sijui kama nimepatia hapo ziwe 100 kwa ujumla wake.

Vipi hapo ipo sawa!
Na pia naomba unisaidie kuhusu hizi bati wanazotangaza kuwa za kampuni ya Alaf zinazouzwa kwenye hardware za mitaani kwa bei ya 28000/= to 27000/= vipi zina ukweli wowote kuwa ni za Alaf
Kwa bati kwa bei hizo za uongo mzee usije ukqpigwa bora ukakutana na agents wao pale pale na uka pewa bei ulipie pale ukasubiri hoja zako site kwako
Bila hivyo utapigwa na kitu kizito kilichochongoka mbele halafu ukune kichwa
 
Back
Top Bottom