Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Hahahaha mkuu umenichekesha kweli yani umeshajipatia uhakika kuwa lazima zipauke hayaNi hizi bati za wachina, zinaitwa Sundar.
Nina uhakika soon zitapauka hizi.
Bei ni 26,500/-.
Hizo bati nasikia bei haipishani sana na ALAFHahahaha mkuu umenichekesha kweli yani umeshajipatia uhakika kuwa lazima zipauke haya
Me nmeweka Sun share nazipigia hesabu
Maana nilivyoambiwa Alaf nikajibu bati ni bati tuu
Alaf milolongo ni mingi niliambiwa nikae nasubiri order miezi miwili mbele me hela ya kudunduliza me nikawaza nikavuka barabara nikaingia kwa mchina sun share beba mzigo huyoHizo bati nasikia bei haipishani sana na ALAF
Kuna watu pia wanasema Sundar wana bati nzuri,labda ziwe feki zinaweza kupauka haraka
Alaf milolongo ni mingi niliambiwa nikae nasubiri order miezi miwili mbele me hela ya kudunduliza me nikawaza nikavuka barabara nikaingia kwa mchina sun share beba mzigo huyo
Ndioo nilikuja kusanuka fundi yupo kwenye Gebo anafanya kazi yakeUsiogope mkuu sunshare wana bati nzuri sana tu kama Alaf. Next time ukitaka bati za alaf tumia maagent coz alaf wanaconcentrate sana na maagent wanaochukua tons of bati sasa mpka watufikie sisi wa pc 100 sio leo.
Usiogope mkuu sunshare wana bati nzuri sana tu kama Alaf. Next time ukitaka bati za alaf tumia maagent coz alaf wanaconcentrate sana na maagent wanaochukua tons of bati sasa mpka watufikie sisi wa pc 100 sio leo.
Hivi bati 100 za alaf, Vale 8, misumari pkt30 na kofia 23 sawa na shilingi ngapi jamani mwenye kujua bei
Ahsante sana mkuu, nimefuatilia kwa ukaribu wa bei za sasa nimekuta bando moja ya bati 16 inauzwa 621000/= kwa bei ya kiwandani kofia na Valley bei zao ni moja 13500/= ila pkt moja ya misumari wanauza 9000/=.January mwaka huu bati ya gauge 30 migongo mipana ilikua 570,000/= kwa bando ya bati 16, valley na kofia bei moja Tsh 21,000 kwa moja na misumari ya bati ya rangi kilo moja 7000.
Ahsante sana mkuu, nimefuatilia kwa ukaribu wa bei za sasa nimekuta bando moja ya bati 16 inauzwa 621000/= kwa bei ya kiwandani kofia na Valley bei zao ni moja 13500/= ila pkt moja ya misumari wanauza 9000/=.
Yupo ndugu yangu wa karibu huko kiwandani.
Swali kwako mkuu....
Nyumba ya vyumba vitatu viwili vya kawaida na kimoja master, choo, dining, na store ukubwa wa nyumba ni mita 12 kwa 10.
Hapa kwa uzoefu wako kaka zinaweza kuzama bati ngapi na mbao zipi na ngapi kwa uzoefu wako hii itanisaidia kujua jinsi gani ya kuishi na fundi na tathmini yako ya gharama za fundi kwa maeneo ya pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam.
Ahsante sana, fundi ambaye kanijengea boma kanipa gharama za kupaua kasema bati 100 mbao za 2*2 ziwe150na zile za 2*4 sijui kama nimepatia hapo ziwe 100 kwa ujumla wake.Sio rahis kukadiria bila floor plan but nkushauri nunua bando 6 na upate fundi mzur asikate kate bati ovyo.
Sunda ana bati tatu nadhani bati nzuri ni SUNDA BEST.Ni hizi bati za wachina, zinaitwa Sundar.
Nina uhakika soon zitapauka hizi.
Bei ni 26,500/-.
Ahsante sana, fundi ambaye kanijengea boma kanipa gharama za kupaua kasema bati 100 mbao za 2*2 ziwe150na zile za 2*4 sijui kama nimepatia hapo ziwe 100 kwa ujumla wake.
Vipi hapo ipo sawa!
Na pia naomba unisaidie kuhusu hizi bati wanazotangaza kuwa za kampuni ya Alaf zinazouzwa kwenye hardware za mitaani kwa bei ya 28000/= to 27000/= vipi zina ukweli wowote kuwa ni za Alaf
Kwa bati kwa bei hizo za uongo mzee usije ukqpigwa bora ukakutana na agents wao pale pale na uka pewa bei ulipie pale ukasubiri hoja zako site kwakoAhsante sana, fundi ambaye kanijengea boma kanipa gharama za kupaua kasema bati 100 mbao za 2*2 ziwe150na zile za 2*4 sijui kama nimepatia hapo ziwe 100 kwa ujumla wake.
Vipi hapo ipo sawa!
Na pia naomba unisaidie kuhusu hizi bati wanazotangaza kuwa za kampuni ya Alaf zinazouzwa kwenye hardware za mitaani kwa bei ya 28000/= to 27000/= vipi zina ukweli wowote kuwa ni za Alaf