TheConcious Negro
Member
- Oct 31, 2020
- 35
- 24
changieni damu bro.Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
- Mpaka either tuchangie damu,
- Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
- Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Ondoka na mginjwa wako akifa umle nyamaVigezo hatuna
Hawapimi siku hizi unatolewa tu dam wanapima wingi wa dam tu basiYaani likija suala la kuchangia damu watu huwa wanaogopa kupimwa UKIMWI!
Ishu ya kuchangia damu kwa mgonjwa wako unafanya chapu, wakienda kupima wakakuta chafu watamwaga ilimradi mgonjwa wako amepata damu ameokoa maisha!
Labda pia familia nzima ni wanawake wananyonyesha na wajawazito. Maana kukosa vigezo vya kuchangia damu ni eidha uwe mwathirika, mama mjamzito na pia mama anayenyonyesha.UKIMWI, huwezi kukosa vigezo labda uwe una UKIMWI. Damu yako hata iwe group gani utachangia then wao wataenda kubadili kwa aina ya damu aliyonayo mgonjwa.
Waulize vizuri, na uanze kutumia ARVs
Ndio nachomanisha. Kwamba, wataenda kupima magonjwa baadae, kwa hiyo watu hawatakiwi kuogopa kwa kudhani watapimwa HIV. Sasa baadae ni jukumu lako kufuata majibu au usiyafuate.Hawapimi siku hizi unatolewa tu dam wanapima wingi wa dam tu basi
Umewahi changia damu? Mtoleeni ndugu yenuNiko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
- Mpaka either tuchangie damu,
- Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
- Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Mwachieni Mungu basi ila hakuna damu ya msaada changia tuVigezo hatuna
Sio kweliUnaweza kuwa na kadi na bado wakakuzingua .nchi hii nyokooo
Mwambieni kabisa nauza damu lt 100k hataki amwachie munguKweli ww pimbi kabisa yaani badala ya kupambania uhai wa mtu wewe unakuja kulalamika JF!
Lipa pesa mgonjwa apewe damu.
Achaa masihara na uhai wa mtu.
Hajasema damu yake haifanani na ya mgonjwa. Kasema hana vigezo. Vigezo huvijui. Ndio maana mnafeli shule.Huwa wanapokea damu yoyote sio lazima ifanane na mgonjwa wako..
Watakutafutia inayoendana na ya mgonjwa wako hizo nyingine zitasaidia wagonjwa wengine.
Waite ndugu zako mchangie damu
Changia damu hiyo, sasa ulitakaje, ila kulipa hapana, damu haiuzwi.Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
- Mpaka either tuchangie damu,
- Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
- Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Amekwambia Kwamba ukoo wake wote hawakidhi vigezo? Au umeamua kubwabwaja.Hajasema damu yake haifanani na ya mgonjwa. Kasema hana vigezo. Vigezo huvijui. Ndio maana mnafeli shule.
It could be due to anything among a laundry list of causes for ineligibility.
Yeye mwenyewe hana damu ya kutosha kuchangia, au ana virusi vya kufa mtu, au ametoka kuzaa, au anatumia antibiotics, au ana miaka 17 kwenda chini, au anatumia insulin ya kisukari, au ana kidonda mwilini, au anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au ametoka kutoga masikio hivi karibuni, au ana maradhi ya moyo..
62% ya wanajamiii hawakidhi vigezo vya kuchangia damu.
Yani mgonjwa hajawekewa damu, na una muda wa kuanzisha mada humu,Mgojwa bado hajawekewa dam