Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,

Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
  • Mpaka either tuchangie damu,
  • Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
  • Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
changieni damu bro.

hiyo laki ni ya kuandaa bonanza au tukio la kuhamasisha watu wachangie damu.

pesa haina thamani kwenye uhai.

hizo damu hawatoi kwa ng'ombe.

changia damu bro
 
Skia we mtu, hakuna dam inayouzwa hospitali yoyte ila kama hauna vigezo ongea na manesi kuna vijana wengi unawalipa hela wanakuja kutoa dam kuna baadhi ya hospitali za s erikali ukipewa unit 1 unatoa 3 so kama mgonjwa wako anahidaji dam lita 3 basi jiandsekuleta wachangiaji 9 ama wakikuhurumia 7. Kwa sababu watu wana magonjwa mengi siku hizi wanachukua 3 units ili ikipimwa 2 zinaweza kuwa sio then 1 ama zote chaka ama zote safi.
 
Yaani likija suala la kuchangia damu watu huwa wanaogopa kupimwa UKIMWI!

Ishu ya kuchangia damu kwa mgonjwa wako unafanya chapu, wakienda kupima wakakuta chafu watamwaga ilimradi mgonjwa wako amepata damu ameokoa maisha!
Hawapimi siku hizi unatolewa tu dam wanapima wingi wa dam tu basi
 
UKIMWI, huwezi kukosa vigezo labda uwe una UKIMWI. Damu yako hata iwe group gani utachangia then wao wataenda kubadili kwa aina ya damu aliyonayo mgonjwa.

Waulize vizuri, na uanze kutumia ARVs
Labda pia familia nzima ni wanawake wananyonyesha na wajawazito. Maana kukosa vigezo vya kuchangia damu ni eidha uwe mwathirika, mama mjamzito na pia mama anayenyonyesha.
Mitandao inatupumbaza sana muda wa kuamua hatma ya mgonjwa analeta mada jf.
 
Hawapimi siku hizi unatolewa tu dam wanapima wingi wa dam tu basi
Ndio nachomanisha. Kwamba, wataenda kupima magonjwa baadae, kwa hiyo watu hawatakiwi kuogopa kwa kudhani watapimwa HIV. Sasa baadae ni jukumu lako kufuata majibu au usiyafuate.

Sasa mgonjwa akiwa anahitaji damu, ndugu kama mna sifa ya kuchangia damu hamtakiwi kujichelewesha mnapoambia mchangie damu ili ifidie ile atakayopewa mgonjwa wengu.
 
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,

Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
  • Mpaka either tuchangie damu,
  • Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
  • Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
Umewahi changia damu? Mtoleeni ndugu yenu
Nyie mnataka ya nani? Awatolee damu ?

Katika damu kila mtu afe na wake
 
Kweli ww pimbi kabisa yaani badala ya kupambania uhai wa mtu wewe unakuja kulalamika JF!

Lipa pesa mgonjwa apewe damu.

Achaa masihara na uhai wa mtu.
Mwambieni kabisa nauza damu lt 100k hataki amwachie mungu
 
Mwachieni Mungu, niliwahi kununua dam bugando 80000/ Kwa chupa na nilitoa kuokoa uhai
 
Huwa wanapokea damu yoyote sio lazima ifanane na mgonjwa wako..

Watakutafutia inayoendana na ya mgonjwa wako hizo nyingine zitasaidia wagonjwa wengine.
Waite ndugu zako mchangie damu
Hajasema damu yake haifanani na ya mgonjwa. Kasema hana vigezo. Vigezo huvijui. Ndio maana mnafeli shule.

It could be due to anything among a laundry list of causes for ineligibility.

Yeye mwenyewe hana damu ya kutosha kuchangia, au ana virusi vya kufa mtu, au ametoka kuzaa, au anatumia antibiotics, au ana miaka 17 kwenda chini, au anatumia insulin ya kisukari, au ana kidonda mwilini, au anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au ametoka kutoga masikio hivi karibuni, au ana maradhi ya moyo..

62% ya wanajamiii hawakidhi vigezo vya kuchangia damu.
 
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,

Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
  • Mpaka either tuchangie damu,
  • Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
  • Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
Changia damu hiyo, sasa ulitakaje, ila kulipa hapana, damu haiuzwi.
 
Hajasema damu yake haifanani na ya mgonjwa. Kasema hana vigezo. Vigezo huvijui. Ndio maana mnafeli shule.

It could be due to anything among a laundry list of causes for ineligibility.

Yeye mwenyewe hana damu ya kutosha kuchangia, au ana virusi vya kufa mtu, au ametoka kuzaa, au anatumia antibiotics, au ana miaka 17 kwenda chini, au anatumia insulin ya kisukari, au ana kidonda mwilini, au anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au ametoka kutoga masikio hivi karibuni, au ana maradhi ya moyo..

62% ya wanajamiii hawakidhi vigezo vya kuchangia damu.
Amekwambia Kwamba ukoo wake wote hawakidhi vigezo? Au umeamua kubwabwaja.

Wengine tumepitia changamoto ya ndugu kuhitaji damu, wapo walio toa za kwao. Na mgonjwa wetu alifanikiwa kupata damu ingawa haikuwa kati ya zile tulizo toa sisi.

Changia damu upewe damu, ipo hivyo.
 
Mgojwa bado hajawekewa dam
Yani mgonjwa hajawekewa damu, na una muda wa kuanzisha mada humu,

Hivi unajua umuhimu wa damu, kwa mzazi aliyejifungua?

Unajua kwa nini wamewaambia mkitaka kumtoa mgonjwa bado hajaongezewa damu inabidi msaini?

Ni kwamba mgonjwa kapungukiwa sana damu, hivyo mkimtoa akifia nyumbani hospitali haitabeba lawama,

Hivi utakuwa baba bora kweli, kwa kushindwa kutatua jambo dogo kama hili la damu, ina maana huna ndugu na marafiki wa kumchangia mkeo damu?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom