TheConcious Negro
Member
- Oct 31, 2020
- 35
- 24
changieni damu bro.Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
- Mpaka either tuchangie damu,
- Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
- Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
hiyo laki ni ya kuandaa bonanza au tukio la kuhamasisha watu wachangie damu.
pesa haina thamani kwenye uhai.
hizo damu hawatoi kwa ng'ombe.
changia damu bro