Nipo jukwaani leo nitoe senario Moja. Nitakuwa naleta updates

Nipo jukwaani leo nitoe senario Moja. Nitakuwa naleta updates

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Salam Sana kwenu.

Nianze Kwa kifupi. Nimekuwa na Umri wa 40s na napendelea kula beer wkt wa weekend. Nikiwa bar Moja nilikwaruzana na Mtu mmj si mara moja. Kw kuwa ninamiliki chuma siku Moja nikaandika kwenye karatasi nikiwa ndani ya chumba Changu cha kujisomea nikiwa nimeshika chuma, wanaojua wataelewa. Nikaandika maneno haya, ambayo niliyatekeleza.

..."nabeba mashine kiunoni na ni Kwa lengo la kutishia tu na sitaweka Shaba(risasi) itakuwa empty" ikiwa nitamkuta yule kumer nitamtishia tu. ....

Nimemaliza kunukuu.

Baada ya kitendo kile ndani ya bar Ile sikuruhusiwa tena kupata huduma baada ya tishio lile. Na lilikuea heavy!..

Baada ya miez miwili au mitatu nikaanza kupata huduma kama kawaida na Kwa sababu wahudumu ni wapya.

Ieleweke kwamba nar nyingi wahudu hawadumu Kwa miezi au Mwaka huacha au kufukizwa.

Kwa kuwa mm ni muelewa wa mambo nilimsomesha bar maid mmj na ananipa a to z za bar na like tukio.

Wale wanaoelewa mambo ya bar, bar mlevi hahami. Labda awe Hana pesa au ahame mji.

Baadhi ya wahudumu ni wahenga Kwa hiyo wananielewa, na hawatii mguu kwa meza yangu..na wateja wenyeji wananijua na wananihofia Sana. Hawajui mie ni mjeda, au ni MTU gani. Heshima IPO vizir sana.

Kuna jambo Moja linaniboa Sana upweke. Kile kitendo naona matokeo yake. Sasa nikiwa bar hii hakuna anayekuka na kukaa karibu yangu ni salamu na kupotea.

Dem Wang mwenyewe hivi karibuni nilimkuta na jamaa mmj nahisi amenipiga kibuti. Nimekomaa nimekaa kimya.

Nita leta mrejesho.. sitajibu comment yoyote tena
 
Wanaotoa vibali vya umiliki (Chuma/Mkwaju) huwa hawawapimi akili watu wao vzr.

Mzee wangu alikuw nayo Chuma ya silver hivi nakumbuka alinambia hichi chuma hakitakiw kuonekana hovyo na ikitokea imeonekana basi hairud hivi hivi.
Why?

Watu wakijua unachuma ujue upo hatarini zaidi.

Wapo watakaoitaka (kuiba) wengine wagomvi wako watajua jinsi ya kukuingia hatokuja na Manati/panga na yeye atatafuta Beretta aje nayo.

So acha utoto kama kwel unamiliki Mlango wa Chuma
 
Back
Top Bottom