Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Bado labda nguli mnifunulieWewe umeelewa kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado labda nguli mnifunulieWewe umeelewa kitu gani?
We mrembo upo?Jf....wazima na wasio wazima wote tupo
Nipo, habari za siku nyingiWe mrembo upo?
Maxence Melo ndg yangu sijui kama ninakupenda tena.Jf....wazima na wasio wazima wote tupo
Hazijawahi kuwaokoa wazee wa kazi wakitia timu ila kufanyia upuuzi kama wa huyu mbwigaDuh,wamiliki vyuma bana
Ova
We nae unatutesa jamanSiku nikiweza kuacha jf nitajifanyia sherehe.
Hivi ndio nimesoma upupu gani huu?
ShikamooDuh,wamiliki vyuma bana
Ova
Nimekuelewa mama😆😆We nae unatutesa jaman
Haya bwana
We badili tu sura hvo
Sjui nan huwaga anakudanganyaNimekuelewa mama😆😆
KASHALEWA huyo nipo jirani yake hapa bar! namuona anavyohangaika kueditAliyeelewa anisimulie jaman me sijui kaandika mtoto wa darasa la tatu B au? Mbona sielew anaandika nn?
Moyo wangu tu rafiki😂Sjui nan huwaga anakudanganya