Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Huo huo moyo unakudanganya km hujuiMoyo wangu tu rafiki😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo huo moyo unakudanganya km hujuiMoyo wangu tu rafiki😂
Umesikilizwa mama tuliaHuo huo moyo unakudanganya km hujui
🙌🙌😂😂😂😂Umesikilizwa mama tulia
Na NaniUmesikilizwa mama tulia
SijaielewaAliyeelewa anisimulie jaman me sijui kaandika mtoto wa darasa la tatu B au? Mbona sielew anaandika nn?
Lazima utakua umeandika ukiwa barSalam Sana kwenu.
Nianze Kwa kifupi. Nimekuwa na Umri wa 40s na napendelea kula beer wkt wa weekend. Nikiwa bar Moja nilikwaruzana na Mtu mmj si mara moja. Kw kuwa ninamiliki chuma siku Moja nikaandika kwenye karatasi nikiwa ndani ya chumba Changu cha kujisomea nikiwa nimeshika chuma, wanaojua wataelewa. Nikaandika maneno haya, ambayo niliyatekeleza.
..."nabeba mashine kiunoni na ni Kwa lengo la kutishia tu na sitaweka Shaba(risasi) itakuwa empty" ikiwa nitamkuta yule kumer nitamtishia tu. ....
Nimemaliza kunukuu.
Baada ya kitendo kile ndani ya bar Ile sikuruhusiwa tena kupata huduma baada ya tishio lile. Na lilikuea heavy!..
Baada ya miez miwili au mitatu nikaanza kupata huduma kama kawaida na Kwa sababu wahudumu ni wapya.
Ieleweke kwamba nar nyingi wahudu hawadumu Kwa miezi au Mwaka huacha au kufukizwa.
Kwa kuwa mm ni muelewa wa mambo nilimsomesha bar maid mmj na ananipa a to z za bar na like tukio.
Wale wanaoelewa mambo ya bar, bar mlevi hahami. Labda awe Hana pesa au ahame mji.
Baadhi ya wahudumu ni wahenga Kwa hiyo wananielewa, na hawatii mguu kwa meza yangu..na wateja wenyeji wananijua na wananihofia Sana. Hawajui mie ni mjeda, au ni MTU gani. Heshima IPO vizir sana.
Kuna jambo Moja linaniboa Sana upweke. Kile kitendo naona matokeo yake. Sasa nikiwa bar hii hakuna anayekuka na kukaa karibu yangu ni salamu na kupotea.
Dem Wang mwenyewe hivi karibuni nilimkuta na jamaa mmj nahisi amenipiga kibuti. Nimekomaa nimekaa kimya.
Nita leta mrejesho.. sitajibu comment yoyote tena
😂😂Huna chuma wew wenye chuma tumeelewaSiku nikiweza kuacha jf nitajifanyia sherehe.
Hivi ndio nimesoma upupu gani huu?
Chuma au jiwe😂😂Huna chuma wew wenye chuma tumeelewa
Chuma sina na jf nimeichoka pia😂😂Huna chuma wew wenye chuma tumeelewa
Na mimiNa Nani
Yatapita yanamwisho😂😂😂Chuma sina na jf nimeichoka pia
Yaendelee lkn nataka kutoka nisaidieYatapita yanamwisho😂😂😂
UsijaliYaendelee lkn nataka kutoka nisaidie
Mzee baba happy to see you here againWe mrembo upo?