Nipo jukwaani leo nitoe senario Moja. Nitakuwa naleta updates

Lazima utakua umeandika ukiwa bar
 
Ushalewa mkuu, amka uite boda boda usepe naona kbsa hizo pombe Leo utajinyea mkuu.
 
Uchumi wa hii nchi ukiendelea kuwababe zaidi matajiri, na kuwatelekeza wanyonge; basi baada ya miaka 10 mbele watu wengi watakuwa wamechanganyikiwa kabisa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…