Nipo Kagera kwa wiki moja. Naombeni mnishauri vitu navyoweza ku experience nikiwa hapa town

Nipo Kagera kwa wiki moja. Naombeni mnishauri vitu navyoweza ku experience nikiwa hapa town

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Jinsia Me, Age 30s,

Nimefika Bukoba kikazi kwa wiki 1

Muda mwingi nitakuwa free

Naombeni mnishauri vitu navyoweza ku experience nikiwa hapa town au miji ya karibu isiyo mbali sana.

Vitu kama sehemu ya kupata msosi asili nijionee mwenyewe zile sifa wanazopewa wahaya kujua mapishi ya ndizi, Sehemu zilizochangamka, Ushauri na Tahadhari za mji na watu wake, Sehemu za kutembelea kwa kumbukumbu, n.k.
 
Ingia Rio hapo mida ya saa tano utasahau kurudi hotelini
 
Kuhusu misosi kwa bei chee nenda polisi mess pale hua wanajitahidi.....

Starehe Ingia Rio hutojuta

Ndizi sidhani kama utazioenda kama umezoea mapishi ya wameru, wachaga, wapare nk huko ndizi na ugali tofauti ni ndogo sana.

Maji ni mengi na kampuni zinatofautiana sana pande hizo

Customer care sahau kipande hicho we msubiri atakuhudumia akijisikia.

Mengine waseme wao.
 
Jinsia Me, Age 30s,

Nimefika Bukoba kikazi kwa wiki 1

Muda mwingi nitakuwa free

Naombeni mnishauri vitu navyoweza ku experience nikiwa hapa town au miji ya karibu isiyo mbali sana.

Vitu kama sehemu ya kupata msosi asili nijionee mwenyewe zile sifa wanazopewa wahaya kujua mapishi ya ndizi, Sehemu zilizochangamka, Ushauri na Tahadhari za mji na watu wake, Sehemu za kutembelea kwa kumbukumbu, n.k.
Katerero
 
IMG-20251109-WA0012.jpg
 
Ikifika jioni ya saa kumi na mbili nenda kata inaitwa rwamishenye ukaone kunavyopendeza na pilikapilika za watu wakifanya biashara ila pia utafurahia vile watu wanauza vyakula kwenye mabenchi .

Siku nyingine nenda shule ipo hapo mjini katikakati ya mji inaitwa bukoba secondary omba kuingia hata kuwapa wanafunzi hamasa ni hapo pata picha nzuri ya majengo ya hapo yalivyokaa vizuri .

Siku nyingine nenda beach muda ya mchana kaa utizame maji na uumbali wa visiwa mbalimbali unavyoviona kwa mbali .Pia omba ratiba ya mitumbwi ili siku nyingine uende mpaka kisiwa chochote Cha karibu ,hakika huko utajifunza mengi ila Kama una tamaa na WA awake kwa kule beba tu mwanamke wasije kukudunda maana kule hakuna ofisi ya mtendaji wala polisi ila kila mtu anaishi kulingana na Sheria zake mwenyewe .

Siku moja nenda Rio ,tafuta mwanamke mmoja jifanye umempenda Sana muombe kuwa unahiitaji kuondoka naye ukitoka hapo kikubwa mpange kuwa unaelekea Dar es salaam ndiyo kwenu na unafanya kazi huko ila uwe na kakipimo ka ngoma najua ukimpanga hivyo hachomoi kupima ngoma .
Hapo utakuwa umepata demu wa kula wiki zima bila kwenda kujishushia heshima pale stendi usiku ili upate kimada .

Mwisho na sio kwa faida .
Ukipata muda Rudi Tena rwamishenye uliza msikiti wa zamani kwa akina Ashrafu ,nenda hapo Kuna kijiwe Cha kahawa kikubwa jioni Piga nao story ila wambie imetoka ofisi kubwa za nchi hii uwe na macode mixing wape hi nyingi ila zaidi wambie uneelekezwa na Onjaro kuwa Mambo yote ya bukoba hujadiliwa hapo na pia wenye mji wote wapo hapo .

Itakupa urahisi kuwasiliana nao kwa uzuri hasa ukisema nimeelekzwa hapa na rafiki yenu Onjaro .
Baadya ya hapo kaka nadhani mji utakuwa haukudai maana utakuwa unewaona wazee pamoja na vijana katika pande zao kikibwa kumbuka picha nadhani itakuwa kumbukumbu nzuri Sana kwako .
Ahsante
 
Raha ya uku shoo buku mbili wakikumbenda wanakupa na ukimwi kama zawadiii 😌
 
Back
Top Bottom