Nipo katika hali ya upweke usioelezeka



Kasema yy kabaki kwasabbu y kazi mzee baba
 
Me naishi hivyo mwaka wa 5 huu.Nipo alone getto.Sijawahi oa na sina demu permanently. Juzi nikazidiwa na upweke mpaka nikahisi kuumwa hoiii.Nimeenda hospital sina ugonjwa wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooh sawaaBasi hamna namnaa...
Kazi nayo muhmu...
Maana waweza uwe na campany ila hela hamna...
Mwishowe wanaokupa kampan unawaona wachawiii


Reyzap nimecheka sana dah yaan ww ni shida!dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umesema ukweli mkuu. Hakuna mwanume bila mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahh.. asante sana kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…