Nipo katika hali ya upweke usioelezeka

Nipo katika hali ya upweke usioelezeka

Hivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?

Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..

Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..

Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....

Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn

Kasema yy kabaki kwasabbu y kazi mzee baba
 
Me naishi hivyo mwaka wa 5 huu.Nipo alone getto.Sijawahi oa na sina demu permanently. Juzi nikazidiwa na upweke mpaka nikahisi kuumwa hoiii.Nimeenda hospital sina ugonjwa wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la upweke hata M/Mungu alilijua kabla binadamu kuumbwa, akalifanyia kazi.

Kampani bora unayoweza kuipata na upweke kupotea ni mwanamke tu.

Vyakula na pombe havikusaidii kuondoka kwenye mkwamo huo.

Ninaposema 'mwanamke' nime generalise sikusihi ama kukushauri ubadili tabia, kuna njia nyingi za mahusiano hata 'penpal'.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli mkuu. Hakuna mwanume bila mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?

Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..

Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..

Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....

Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn
Hahahahh.. asante sana kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom