Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?
Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..
Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..
Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....
Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn
Kasema yy kabaki kwasabbu y kazi mzee baba