Nipo Kenya naangalia namna ya kurudi Tanzania, hali inatisha sana huku

Nipo Kenya naangalia namna ya kurudi Tanzania, hali inatisha sana huku

Jinsia yako? Kama me huku usirudi jitu lioga kama mgambo wa Hamas kujificha kwenye makalio ya mama zao
 
Bora urudi nyumbani tu, kdf wameagizwa kuingilia kati. Waandamanaji wakianza kuandamanaji kibabe tena watakula za uso hadharani
 
Njoo huku tuendelee na Maupuuzi yetu... Zuchu ana kiuno chepesi... Shilole kaachika.... Mangungu toka... Try Again Mtu kweli... Mwamnyeto anaenda SSC
 
Nina mwezi nipo huku nchini Kenya kwa hali inavyoendelea nahofia usalama wangu.

Mkiona kimya ujue ndo bye bye nishatangulia mbele ya haki.
Kijana, achana na ule uoga wa Kitanzania! Ingia na wewe barabarani kupambana ili kupata uzoefu. Halafu ukirudi huku TZ, uje uwaambukize vijana wenzako akina Lucas Mwashambwa na ephen_, kwenye kulipigania Taifa dhidi ya vitendo viovu vya watawala.
 
Umelegea unashindwa hata na watoto wa kike wenye miaka 18, unarudi Tz kwa wajinga wenzio, haya karibu nyumbani tuendelee kuimba mama anaupiga mwingi huku Bashe anacheua chenji za dili la sukari
 
Kijana, achana na ule uoga wa Kitanzania! Ingia na wewe barabarani kupambana ili kupata uzoefu. Halafu ukirudi huku TZ, uje uwaambukize vijana wenzako akina Lucas Mwashambwa na ephen_, kwenye kulipigania Taifa dhidi ya vitendo viovu vya watawala.
We mzee vipi? Kwanini wewe na wazee wenzako msipite mbele kuanzisha maandamano? Tulipofika Tz, nyie ndio mmelea uovu na uchafu wote

Tulizaliwa tukawakuta na mfumo wenu m'bovu! Kabla hamjafa hakikisheni mmetuacha sehemu salama!

Kama mnataka tupambane, barabarani tuingie sisi woteee! Wazee vijana wanawake wanaume woteeee
Nyumbani tuwaache watoto walio chini ya miaka 18 tuu! 🤸
Hapo vipii..?
 
Back
Top Bottom