Nipo Kenya naangalia namna ya kurudi Tanzania, hali inatisha sana huku

Nipo Kenya naangalia namna ya kurudi Tanzania, hali inatisha sana huku

We mzee vipi? Kwanini wewe na wazee wenzako msipite mbele kuanzisha maandamano? Tulipofika Tz, nyie ndio mmelea uovu na uchafu wote

Tulizaliwa tukawakuta na mfumo wenu m'bovu! Kabla hamjafa hakikisheni mmetuacha sehemu salama!

Kama mnataka tupambane, barabarani tuingie sisi woteee! Wazee vijana wanawake wanaume woteeee
Nyumbani tuwaache watoto walio chini ya miaka 18 tuu! 🤸
Hapo vipii..?
Hili halikubaliki. Nyinyi vijana ndiyo mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye kulipambania Taifa lenu, kama wanavyofanya vijana wenzenu wa Kenya.
 
Nina mwezi nipo huku nchini Kenya kwa hali inavyoendelea nahofia usalama wangu.

Mkiona kimya ujue ndo bye bye nishatangulia mbele ya haki.
Sawa,haina shida. Wanaotangulia nao walizaliwa kama wengine.
Enewe,unataka usaidiwe nini labda? Si ulienda mwenyewe?
 
Hili halikubaliki. Nyinyi vijana ndiyo mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye kulipambania Taifa lenu, kama wanavyofanya vijana wenzenu wa Kenya.
Sio kweli! Sisi wote tuingie! nyumbani wabaki watoto tu!
Wazee wetu mmezingua pakubwa sanaa! Mmelea uovu mpaka umeota na mizizi
Tz ndio tuna hali mbaya kuzidi wote EA

Gen Z hatuendi wenyewe barabarani mpaka nyie muwe mbele sisi nyuma
Ikiwezekana tuwaamshe watanzania hadi waliokufa tuende nao wote Gen A mpaka Z🤸😂
 
Back
Top Bottom