We mzee vipi? Kwanini wewe na wazee wenzako msipite mbele kuanzisha maandamano? Tulipofika Tz, nyie ndio mmelea uovu na uchafu wote
Tulizaliwa tukawakuta na mfumo wenu m'bovu! Kabla hamjafa hakikisheni mmetuacha sehemu salama!
Kama mnataka tupambane, barabarani tuingie sisi woteee! Wazee vijana wanawake wanaume woteeee
Nyumbani tuwaache watoto walio chini ya miaka 18 tuu! 🤸
Hapo vipii..?