Budget ya Uswiss 5.2bnUswiss haina jeshi waliingia mikataba na majirani zao wote ya Amani
Israel inajeshi dogo la kisasa na askari mgambo wengi wa akiba ambao hawalipwi mpaka itakapotokea vita.
Ukiangalia kwa mtizamo huo itakuchanganya kwa kufananisha third world countryBudget ya Uswiss 5.2bn
Budget ya Israel 20bn
Budget ya Tz 870m
Budget ya Tz inaingia mara tano na zaidi ya Budget ya Uswiss.
Jeshi la kisasa linahitaji nguvu kazi zaidi ya hii tuliyonayoUkiangalia kwa mtizamo huo itakuchanganya kwa kufananisha third world country
Point ilikuwa ni tufuate walikopita Swiss na Israel
Ujinga na udikiteta mtupu.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Vita ya sasa inapiganwa sana kwa kutumia DronesUkisema jeshi la kisasa unamaanisha silaha za kisasa.
Nunua zile missile kama za mkorea
Nunua raptors za mmarekani na rador zake, siyo raptors pekee maana kila ndege huwa na asignment yake.
Nadhani kuna kama aina nne za ndege zinabidi zinunuliwe
Hii budget sisi hatutaiweza,, tutaua wannchi.
Hahaha. Poleni sana MATAGA. Huyu ndiye Rais wetu mpendwa Amani bila mbwembwe na Udikteta. Kazi Iendelee.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Hebu jiingize kidogo kwenye hayo mambo ya kijeshi uone kwanini USA pamoja na technology yake kuwa juu bado ina wanajeshi milioni mbili.Vita ya sasa inapiganwa sana kwa kutumia Drones
Mfano mzuri ni pale Azerbaijani iliposhinda Armenistan kwa kutumia Drones ndogo ndogo na
Acha uzamani mkuu.Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
Ndugu hiyo ilikiwa ni Opinion yangu ya jinsi tunavyoweza kupunguza Jeshi letu kwa nia ya kupunguza matumizi na fedha tuzipeleke kwenye huduma za jamiiHebu jiingize kidogo kwenye hayo mambo ya kijeshi uone kwanini USA pamoja na technology yake kuwa juu bado ina wanajeshi milioni mbili.
Drones zinaweza kuwa manipulated na zikakudhuru mwenye nazo.
Lakini simple ,,,google manchi ambayo yapo mblele kiteknolojia uone wanachofanya.
Kupunguza jeshi si sahihi na kusainish si garantii kuwa hawatageuka. Tumewasainisha mengi na wamegeuka kwenye mengi...usipokua mwaminifu kwa kidogo hata kikubwa huwezi kuwa mwaminifu.Mama aboreshe uhusiano na Majirani zetu wote
Kisha tuwasainishe kuwa hakutakuwa ma agression baina ya Nchi zetu...
Achana na ushamba wa magufuli mabeberu ndio nani sisi Tanzania tunaihitajia zaidi dunia kuliko dunia inavyotuhiji sisi siasa za chuki za Magufuli tumeshachana nazo zamani hata Ndugai ulimsikia bungeni anavyostaajabu watu kukamatwa ovyo na kuwekwa mahabusu bila ya kufikishwa mahakamani na wewe badilika baba.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Sawa,, nilikuwa najaribu tu kukuonyesha kuwa jeshi letu bado ni dogo sana chini ya jeshi dogo,, tunahitaji kupeleka vijana wengi zaidi jeshini.Ndugu hiyo ilikiwa ni Opinion yangu ya jinsi tunavyoweza kupunguza Jeshi letu kwa nia ya kupunguza matumizi na fedha tuzipeleke kwenye huduma za jamii
Kama wewe unaona haifai basi sawa au kuna mfumo mwingine unaoweza kupendekeza itapendeza zaidi
Lazima twende na hatua za kujilinda ukizingatia kutotabirika kwa mahusiano ya Tanzania na Kenya tangu enzi za Mwl. Nyerere na Jomo Kenyatta....ni hatari kubwa kuingiza watu wetu kwenye mahusiano yasiyo na break na kenya. Tunahitaji kujenga kwanza uwekezaji wa ndani na kuwaandaa watu wetu kwenye kupambania fursa katika eneo zima la afria mashariki..
Kwa hiyo unafikiri Jeshi kubwa lenye IQ ndogo ndio solution?.Sawa,, nilikuwa najaribu tu kukuonyesha kuwa jeshi letu bado ni dogo sana chini ya jeshi dogo,, tunahitaji kupeleka vijana wengi zaidi jeshini.
Haya kauze hayo mahindi yenye sumu kenya, kenge wee...halafu mkawakodishe waje wawazalishie wake zenu nyie mkiishia kunywa viroba.....Kaa kimya kima wewe tulio mipakani na wakulima tunafahamu umuhimu wa ushirikiano ,wewe uliye Dodoma huwezi jua kitu
Hapana,, sijasema hivyo, nimesema nilikuwa nakuonyesha kuwa jeshi letu bado linatakiwa kuajili zaidi kwani hata udogo tunaoutaka halijaufikia.Kwa hiyo unafikiri Jeshi kubwa lenye IQ ndogo ndio solution?.