Hakuna ushahidi wowoteSalaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Hoja yako inamashiko ndugu kongoleHapana,, sijasema hivyo, nimesema nilikuwa nakuonyesha kuwa jeshi letu bado linatakiwa kuajili zaidi kwani hata udogo tunaoutaka halijaufikia.
Nchi yetu inatakiwa iwe na jeshi la nchi kavu, jeshi la maji na jeshi la anga...
Nimeshudia mara kadhaa wakenya wako na uelewa na makini kwa kazi. Nilimpa fundi kutoka Kenyaanitengenezee gari jinsi alivyokomaa na uaminifu wake nilfurahishwa akikuambia bei ni ya uhakika. Watz kazi kidogo mhhSisi ndio tulikuwa miamba,mahodari na mashujaa wa huo urafiki wa mashaka,na kuwa geuza maadui wetu,sababu sisi ni wavivu na walk niwachapakazi said yetu ,unabisha angalia uwekezaji wao kwetu, hata tukanaribu kuwazuia.
Mama anasema alivutiwa na Rais Uhuru kusimamisha khutuba na kupisha Adhana.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Sitaki kuamini kwamba hii ndo sababu, lakini ni vizuri kutahadharisha hii fast-track approach kwenye integration na kenya. Wakenya wangekuwa wanajali mashirikiano na majirani zake jumuiya ya afrika mashariki isingevunjika mwaka 1977, mara zote wamekuwa karibu zaidi na wazungu na wanatafuta kukuza ushawishi kwenye eneo zima la E.A kupitia kukuza uwekezaji na kujenga uchumi imara kwa kuzitumia nchi jirani kwa ajili ya masoko na kupata malighafi na nishati rahisi, mfano mradi wa bomba la gesi uliosainiwa majuzi na hii itawasaidia kuendelea kukuza ajira kwa watu wao...Mama anasema alivutiwa na Rais Uhuru kusimamisha khutuba na kupisha Adhana.
Hiki kitendo kimemfanya Mama aamini Kenya ni majirani wema.
Huyu ndio Rais wa JMT.
Hakukuwa na mashaka yoyote ya mahusiano kati ya Kenya na Tanzania. Tatizo lilikuwa kati ya Kenya na Magufuli.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Ukimsikia tu mtu anamwita binadamu mwenzake beberu, unajua huyo mtu kichwani hakuna kitu.Ulipotaja tu jina beberu nikaishia hapo hapo maana nishajua unatokea kundi gani.
Subiri. Bado hujaona kitu kwani hapo ni kama unaota tu ndoto na huyo Samia wako.Watu kama nyinyi Mh. Suluhu amewaongelea kule bungeni. Watu kadhaa walio na choyo na fikra finyu za kuendeleza chuki baina ya wananchi wa pande zote mbili. Na hamtaweza kwani mwendo ni wa 5G sahi. Urafiki, undugu, ushirikiano na ujirani mwema kwa pande zote mbili husika ndio jambo muhimu sahi na mbeleni ili kuimarisha uchumi na hali ya maisha kwenye ukanda huu. 🇹🇿 + 🇰🇪 = Prosperity
Na tuwe makini ile njia ya barabara mpakani iliyofungwa na Nyerere,ili watalii watokao Kenya wapitie Namanga TUSILEGEZE ule msimamo wa Nyerere!,kwani Marais wote waliofuata walishikilia msimamo huo.Salaam JF, hivi karibuni mh. rais alifanya ziara nchini kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara jumuiya ya afrika mashariki...
Wee wala hujamwelewa. Kuna watu wanakupenda tu kama wanakufaidi. Ukitaka urafiki wa kufaidiana wanakuona mtu mbaya. Hao ndio kenya.Watu kama nyinyi Mh. Suluhu amewaongelea kule bungeni. Watu kadhaa walio na choyo na fikra finyu za kuendeleza chuki baina ya wananchi wa pande zote mbili. Na hamtaweza kwani mwendo ni wa 5G sahi.
Urafiki, undugu, ushirikiano na ujirani mwema kwa pande zote mbili husika ndio jambo muhimu sahi na mbeleni ili kuimarisha uchumi na hali ya maisha kwenye ukanda huu. 🇹🇿 + 🇰🇪 = Prosperity
Sawa bhana, fanyeni mtakavyo basi! Duh!Wee wala hujamwelewa. Kuna watu wanakupenda tu kama wanakufaidi. Ukitaka urafiki wa kufaidiana wanakuona mtu mbaya. Hao ndio kenya.
Nyinyi ndio hamtaki profit kwenyu au wasemaje?Niambieni Rais gani aliyemaliza muda wake bila kukutana na Mambo ya Nongwa kutoka Kenya? Wakenya ni wepesi kujifanya wao ni wema kwetu lkn ni ukweli usiopingika Wakenya si watu wakuamini hata siku moja always They after Profit Maximization.
Sawa. Nimekuelewa. Suala la msingi hapo ni kuweka mazingira rafiki kwa wote, wakenya na Watanzania. Japo Always usawa hakuna. Mfano USA na Canada Wanafanya kama sisi tunavyotaka kufanya. Sasa cha msingi hapo kuweka mazingira rafiki badala ya kutunishiana misuli.Biashara kati ya Tanzania na Kenya mbona ipo miaka mingi mkuu, ninachohofia ni hizi moves zinazoharakishwa ambazo zitaipa kenya advantages zaidi za kiuwekezaji nchini kwao huku wakifaidika kwa kutengeneza ajira zaidi na kuifanya Tanzania kuwa soko tu la bidhaa zao jambao ambalo litaendelea kuua ajira za watu wetu.
Kenyatta anaposema watanzania wanaruhusiwa kufanya kazi na biashara kenya bila zuio lolote kuna mtego mkubwa ndani yake, ndo maana wengine tunatahadharisha kwamba haya mahusiano yaendelee kwa kasi iliyokuwepo au iliyozoeleka, maana kuna watu wanataka twende kwa kasi ya 5G kwenye integration na kenya, jambo ambalo haliwezi kukubalika kwa mustakabali wa nchi na watu wetu.
Kuna mijitu inaroho za kishetani wanaishi enzi ja ujamaa.Uzandiki tu yaani! Mitizamo ya namna hii inalenga kukatisha watu tamaa kwenye mambo ya msingi