Ndo ukazane kulima na wewe uchangie chochote kwa ajili ya chakulaHii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Hii itakuwa wanawake wakushauri maana mnashare hisiaJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Bado majuto ya weekend hayajaishaLeo na ijumaa hamna tofauti
Kwahiy unasubir kuambiwa "nenda sasa."Me nliitwa
sasa jitahidi uwe mvumilivu kama yule dada alipewa jina la king'ang'a kule usafini.Bado sitaki kuondoka
Hii kauli ya ubishani huwa inatoka kwa mwanaume tu...Bado sitaki kuondoka
Nimekumic DA shuu, ulipotelea wapii?Pole sana mamy hata kama alikuita hiyo inaitwa akufukuzaye hakwambii toka
Jitahidi kama unaweza urudi tu ulipokuwa unaishi uwe busy na mambo yako tu achana na mambo ya kufatana kwa marafiki
Jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekaa wiki 2 umekuwa mzigo mithiri ya kiroba ukikaa mwezi utakuwa contena
Jitafakari
Basi usilalamike unajitakia hayoBado sitaki kuondoka