Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Hii itakuwa wanawake wakushauri maana mnashare hisia

Wakiume tungechanana tu afu fresh
 
Kwani kukwambia live? Kama hajakwambia live jua anakuogopa hivyo endelea kumuumiza kihisia.

Mkiwa wote anzisha hata vijimaneno vya kichokozi, sema nina hamu ya pizza ila hela tu ndio sina.
 
images (91).jpeg
 
Siwezi ishi nje ya kwangu na kwa wazazi afu nikawa comfortable.

Ntajihisi nna hatia ya kuharibu ratiba za familia ya watu, hata kwa ndugu huwa siendi mara kwa mara, na nikienda hazizidi cku 3 naaga kuondoka.

Napenda uhuru na amani.

Wee fanya uondoke hapo, huyo rafiki ako kashakuchoka na anaogopa kukuchana, ndo anamtumia huyo mwenzie. Toka nduki hapo.
 
Back
Top Bottom