Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
We ni me au ke
 
Umekaa sana huenda aliyekukaribisha ndiye kamwambia hivyo maana kwanini aseme haya kama hukai kwake
 
Rafiki yako kashindwa kukwambia directly kuwa kakuchoka hivyo anamtumia rafiki yake kukufikishia ujumbe.

Ugeni hukoma rasmi baada ya siku ya 3. Kuendelea mbele ya hapo wewe ni mkazi hivyo unapaswa kushiriki kikamilifu katika hiyo nyumba/chumba ikiwemo kuchangia chakula.

Hata kama umeitwa kuna baadhi ya vitu inapaswa ujiongeze.

Suluhisho hapo, kusanya virago vyako urudi ulikotoka. Ugeni wako ushachokwa hapo.
Naenda kwangu
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
We unaonaje
Jiongeze Rudi kwenu HATA kama n kijijini
 
Unaenda kukaa kwa mtu kwa zaidi ya siku tatu kwani huna shughuli ya kufanya?
Ondoka hapo haraka Sana we mwenyewe si unaona umeshachokwa tayari na bado umekaza fuvu tu
 
Back
Top Bottom