Safi sana 🤣🤣Kwa kweli hapo kwenye kula nimewazidi wote🤣adi naona aibu
Kutoa chakula si kazi yako, umeenda kutoa kampani hiyo inatosha, rafiki yako akisema ameridhika na kampani yako unageuza home.ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula
Inaonesha wewe ni mbinafsiHakuna ubaya
Hutomsema kwa kinywa ila utamsema kwa kumtumia Abdallah kichwa wazi mpaka kinywa chake cha chini kiseme poo🤣🤣🤣njoo geto unipe kampani sitakusema mwaya
We ni me au keJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Umekaa sana huenda aliyekukaribisha ndiye kamwambia hivyo maana kwanini aseme haya kama hukai kwakeJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Naenda kwanguRafiki yako kashindwa kukwambia directly kuwa kakuchoka hivyo anamtumia rafiki yake kukufikishia ujumbe.
Ugeni hukoma rasmi baada ya siku ya 3. Kuendelea mbele ya hapo wewe ni mkazi hivyo unapaswa kushiriki kikamilifu katika hiyo nyumba/chumba ikiwemo kuchangia chakula.
Hata kama umeitwa kuna baadhi ya vitu inapaswa ujiongeze.
Suluhisho hapo, kusanya virago vyako urudi ulikotoka. Ugeni wako ushachokwa hapo.
Ungekuwa unakaa kwangu ningekuchapa bakora kabisaUzuri sikai kwako
We unaonajeJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?