Basi unastahili yanayokutokea mkuu na bado utasemwa sana kwa watuBado sitaki kuondoka
Nimekumiss pia kipenzi changu mimi apa yaani nikiingia jf naishia makapukuNimekumic DA shuu, ulipotelea wapii?
Basi pambana utafute kwakoAcha TU waniseme sasa ntafanyaje[emoji23]na sitaki kurudi kijijini
Una jina zurii jamani NATAMANI NINGEKUWA na room nikusaidie ma sisHamna choo Cha ndani huko
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Si umsage tu ...heshima itakuja yenyewe mkisagana πJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Upinde ni kwa ajili ya wanawake siyo wanaume .....mwanamke yoyote ni upinde kiasili ....ndiyo maana mwanaume akitaka kuoa wake wengi basi shariti awageuze hao wanawake kuwa upinde ndiyo anaweza kuishi nao vizuri vinginevyo watagombana milele na kugombanisha watoto piaWeee I love menππππI'm straight sio upinde
Umenifurahisha sana agiza kinywaji chochote hapo ulipo kisha nitumie namba lipa nilipe bill.Hii itakuwa kweliππΉ
Ila Mimi nawakomoa wote siendi