Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Jifanye kichaa! yaani chizi kichizi..!!Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Vipi umefanyaje mpaka umefika home mbona hujatulishaSema Kwa sauti Bwana Yesu asifiwe Sana.
Igiza kama mtumishi wa Mungu unatoa neno la uzima wa milele.
Nauli hutolipa na mwisho sadaka pia utapewa.
Jifanye kama umezimia "jizimishe"Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Omba mkopo songesha au mitandao mingine halafu utatoa utatoa ukifika ulipe.Kama unadaiwa mchek jamaa Ako akurushieJamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese.
Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.