Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Jifanye kichaa! yaani chizi kichizi..!!Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.