Nimekuelewa,products kwanza iwe nzuriKweli kiongozi unipikie kande halina ladha useme kuwa light italifanya liwe tamu. Nije kula ugali huko kwako haujaiva useme light itauivisha mkuu kweli. Wazo lako la kuweka light coloured huko sio baya lakini usiseme litachange mwonekano wa chakula. Nyama hata kwa mwanga wa moon n nyama tu nothin will change. Ila weka tu kila aina ya rangi ka una uwezo nunua hata zile taa za kuchange rangi coz sio wote wanapenda blue au red no wewe weka rangi zote na mteja atakua anachagua pakwenda kukaa kutokana rangi aipendayo. Cku ukifungua unipe location nije kuangusha nyago kadhaa hapo kwako bora tu iwe east africa ntakuja
Sure.Asante mkuu,kabla ya kumtafuta designer lazima anaipe mchoro wake so nitakusanya na mawazo ya wananzengo hapa ili kupata kilichobora kabisa kama chanel 10.
sasa kama umekuwa na uwezo wa kuwaiba machef si wateja watakua na hali ngumu kwa kuwaibia. Wateja mmemsikia huyu kaeni chonjo huko.Nimekuelewa,products kwanza iwe nzuri
Kuhusu ilo sina shaka hawa ma shef nimewaiba kwenye hotel zenye hadhi wanatambua wanachokuja kufanya.
Mkuu kuiba chef ni kumpandia bei sio kwamba kaenda kumfanyia ujambazi mwenye hotel na kachukua chef kama TV au fridge😀😀sasa kama umekuwa na uwezo wa kuwaiba machef si wateja watakua na hali ngumu kwa kuwaibia. Wateja mmemsikia huyu kaeni chonjo huko.
Pole sana.... weka mada vizuri ielewekeSipo vizuri kwenye uandishi mkuu,tphing ettor
Mkuu kuiba chef ni kumpandia bei sio kwamba kaenda kumfanyia ujambazi mwenye hotel na kachukua chef kama TV au fridge
Nahisi km uko sahihi vilee.Warm light imekaa kinyamwezi. Hii ukipiga picha inatoka vizuri pia Kuna comfort flan ivi mtu anapata maana mwanga unakuwa sio mkali sana. Nipo kwenye tasnia ya stage light so najua ninacho sema kuhusu light