Nipo kwenye process ya kufungua restaurant na nimekwama kwenye suala la lighting

Nimekuelewa,products kwanza iwe nzuri

Kuhusu ilo sina shaka hawa ma shef nimewaiba kwenye hotel zenye hadhi wanatambua wanachokuja kufanya.
 
Asante mkuu,kabla ya kumtafuta designer lazima anaipe mchoro wake so nitakusanya na mawazo ya wananzengo hapa ili kupata kilichobora kabisa kama chanel 10.
Sure.
Mawazo ya wengi utapata idea mbalimbali.

Ukifika muda wa kutaka designer we can share suggestions as well.
 
Nimekuelewa,products kwanza iwe nzuri

Kuhusu ilo sina shaka hawa ma shef nimewaiba kwenye hotel zenye hadhi wanatambua wanachokuja kufanya.
sasa kama umekuwa na uwezo wa kuwaiba machef si wateja watakua na hali ngumu kwa kuwaibia. Wateja mmemsikia huyu kaeni chonjo huko.
 
sasa kama umekuwa na uwezo wa kuwaiba machef si wateja watakua na hali ngumu kwa kuwaibia. Wateja mmemsikia huyu kaeni chonjo huko.
Mkuu kuiba chef ni kumpandia bei sio kwamba kaenda kumfanyia ujambazi mwenye hotel na kachukua chef kama TV au fridge😀😀
 
Mkuu kuiba chef ni kumpandia bei sio kwamba kaenda kumfanyia ujambazi mwenye hotel na kachukua chef kama TV au fridge😀😀
Asantee kwa maelekezo,mkuu mashef huwa wanaibwa kama analipwa laki 350k unamjazia 450k

Asante sana mkuu🤚🤚
 
Fanya utafiti ingia kwenye baadhi ya Restaurant utapata majibu.
 
Warm light imekaa kinyamwezi. Hii ukipiga picha inatoka vizuri pia Kuna comfort flan ivi mtu anapata maana mwanga unakuwa sio mkali sana. Nipo kwenye tasnia ya stage light so najua ninacho sema kuhusu light
Nahisi km uko sahihi vilee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…