ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Tena ni vizuri kumuonyesha kuwa unampenda, don't hide your emotions Ila uache nafasi ili hata ikitokea mkaachana uweze ku-move on kirahisi.Kweli kabisa.
Kosa ni kumwonesha mtu kwamba unampenda sana. Ila hata kama unaumia kutowasiliana nae ukiumia kimya kimya bila kumwambia ni nzuri sana.
Akikupigia simu akitegemea utapokea kinyonge wewe jitahidi upokee na furaha yaani aone kwamba maisha yanasonga na ratiba zako zinaenda kama kawaida, lazima ashike adabu.