Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Tena ni vizuri kumuonyesha kuwa unampenda, don't hide your emotions Ila uache nafasi ili hata ikitokea mkaachana uweze ku-move on kirahisi.
 
Hakuna kitu huwa inaniboa kwenye charting kama huo uandishi aisee. Wao huona ni kawaida ila kwa sisi ambao tunapokea jumbe zao kiukweli zinatutesa mno.

Kwanza hata kujua kamaanisha nini huwa ni shughuli kwelikweli na hapo unakuta kaandika na vifupi vyao vya maneno kwenye "kw" kaweka "q" mfano, qnn??
 
Txn eti hii neno ni "thanks" nilichoka nilivyokuja kujua ukiangalia hii haina uhusiano kabisa, au cana badala ya "sana" na upuuzi mwingine xx/xaxa, jomoni, tyu badala ya tu, qweli badala ya kweli n.k

Afu mtumiaji wa hii lugha ukimwambia ukweli "wewe ni mshamba" anamind na kukuambia hizo ni swagger hasa vijana wa kiume wana ushamba huo sana wa kuandika uandishi wa kitoto.
 
Mara nyingi huwa sijibu jumbe za namna hiyo.
Nitamfikiria kidogo yule anatumia simu ndogo zile, kwasababu herufi s iko mbali so anatumia x badala ya s ili kuharakisha. Sasa mtu anatumia smartphone kabisa kwenye tu anaweka 2, sasa xaxa, mtu m2, inaboa kiukweli.
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Mkerewe alilie organ yetu ivo,no huyu msukuma inaonyesha anapenda amani pia kujiongeza n kidgo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…