Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Hawa viumbe ukiwa ndezi wanakupeleka kwelikweli.
Anaweza akakuacha akakurudia, anakuacha anakurudia.
Mmoja alinifanyia upuuzi huo , kaniacha kiaina siku kaachana na mpenzi wake akajipendekeza, nikampa, nikamkopa laki 5 imetoka hiyo.
Huyo ulimnyoosha manina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna maumivu makali kama kuachwa na deni
 
Bloo..acha hizo bloo
 
Unayosema ni kweli
 
Wa atakachojibu Yeye au?bado nachukua maarifa maana wengne wamedai nisimjibu hvyo naangalia mawazo then ntakuja na Yangu pia
Usimjibu chochote! Hakuna kitu kinamuumiza mwanamke kama kukwambia tuachane af usimjibu!! Wee piga kimya atakutafuta haitapita mwezi!!
 
Kuna msemo wa kiswahili unasema mpende akupendaye usiyempenda achana naye. ndugu fikiri mara mbili usihangaike na mtu asiye na hisia nawe
 
Wanawake wamejaa mno mkuu, text only once, call only once! Kama hakuna response yoyote piga kimya maisha yaendelee, view status kama kawaida, don't block her, just have fun. Maisha haya unang'ang'ania kitu kimoja ili iweje.
 
Bongo Fleva zinawaharibu sana vijana wetu waliozaliwa 2000s, yaani hata kuandika lugha yao hawajuwi.
 
1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?

That coochie ain't shaped like wallet for no reason
 
Usimjibu chochote! Hakuna kitu kinamuumiza mwanamke kama kukwambia tuachane af usimjibu!! Wee piga kimya atakutafuta haitapita mwezi!!
Uko sahihi !! Wanapenda mind game , anapoanzisha drama anakuwa anahitaji attention na reaction kutoka kwako ... sasa usipompa attention wala ku react ...inawasumbuwa sana wanakosa amani kichwani
 
Uko sahihi !! Wanapenda mind game , anapoanzisha drama anakuwa anahitaji attention na reaction kutoka kwako ... sasa usipompa attention wala ku react ...inawasumbuwa sana wanakosa amani kichwani
Na wanaume wanaumizwa na nini?
 
Wanawake wamejaa mno mkuu, text only once, call only once! Kama hakuna response yoyote piga kimya maisha yaendelee, view status kama kawaida, don't block her, just have fun. Maisha haya unang'ang'ania kitu kimoja ili iweje.
Kweli kabisa.
Kosa ni kumwonesha mtu kwamba unampenda sana. Ila hata kama unaumia kutowasiliana nae ukiumia kimya kimya bila kumwambia ni nzuri sana.
Akikupigia simu akitegemea utapokea kinyonge wewe jitahidi upokee na furaha yaani aone kwamba maisha yanasonga na ratiba zako zinaenda kama kawaida, lazima ashike adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…