Nipo mbali sana tafadhali naomba aliye karibu na akina Tulia Ackson na Hussein Bashe wawasalimie kwa niaba yangu

Nipo mbali sana tafadhali naomba aliye karibu na akina Tulia Ackson na Hussein Bashe wawasalimie kwa niaba yangu

Mambo yako kimkakati kwa kusudi la kufikia malengo ya wachache.

Karibu 129, mawazo yako ni muhimu.
 
Kama mtu ungekuwa unajua kesho yako T.A angeacha kuwa chawa na kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria na taratibu. Watu wanakwambia watu wanatekwa na kuuwawa wewe unafunga masikio na kujibu kwa kejeli
 
tatizo mtandao wa voda umewagharimu sana , sijui kwanini hawajifunzi
Hebu nawe acha kuniangusha hivi kabisa ukiwatizama hao Wote unaona kuna mwenye Akili Kubwa kama zangu nawe?
 
Back
Top Bottom