Nipo Morocco, nimepata tiketi kuja kuangalia mechi, nitawasimulia game inavyoenda

Nipo Morocco, nimepata tiketi kuja kuangalia mechi, nitawasimulia game inavyoenda

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Mko poa

Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia

TANZANIA NA SENEGAL-U17
Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani ukweli usemwe..
lakini fainal ni fainal yeyote anaweza akashinda

Nipo moroco hotel kinondoni naangalia mpira kwenye banda umiza

Nitawapa matokeo pamoja na updates za mechi zinavyoenda

Kwa macho yangu ya nyama hapa uwanjani moroco mechi ni ngumu sana upande wetu TANZANIA U17

TUNAKUMBUSHANA TU MAMA YUPO URUSI NA AMETOA MILLION 500.. hawa vijana washinde wasishinde hizo pesa wanapokea ila wakishinda kuna zawad zingine wataongezewa
 
DAKIKA ya 20… KIWANGO KIZURI TANZANIA wanakionyesha hapa MOROCCO
 
HAJI ABDALLAH ANAFANYA SAVE YA HATARI.. huyu kijana ni kipa haswaah
 
TUNAKUMBUSAHANA TU MAMA SAMIA YUPO URUSI
 
TUNAKUMBUSAHANA TU MAMA SAMIA YUPO URUSI
NA AMETOA MILION 500 Hawa vijana wapewe wakishinda na hata wasiposhinda, ila wakishinda wataongezewa zawadi zingine.. dokezo
 
Dakika ni ya 36.. bado tanzania tunaongoza 1
 
DAKIKA YA 40 bado tanzania anaongoza goli 1
 
Back
Top Bottom