Nipo Morocco, nimepata tiketi kuja kuangalia mechi, nitawasimulia game inavyoenda

Nipo Morocco, nimepata tiketi kuja kuangalia mechi, nitawasimulia game inavyoenda

Dk ya 87 bado moja,moja
 
Hapa moroco mambo yamekuwa magumu kidogo tbc wamekata mitambo yao
 
Dk 90 zimeongezwa dk 5
 
dakka 90 zimeisha.. tunasibiri extra
 
Penati ya kwanza, senegal.. wanapata
 
Penati ya kwanza Tanzania, wanapata
 
Penati ya pili senegal.. wanapata
 
Penati ya pili Tanzania, wanapata
 
Penati ya tatu senegal.. wanapata
 
Penati ya tatu tanzania.. wanakosa
 
Penat 3 kwa 2.. tunaongozwa penati moja, tumekosa penat moja
 
Penati ya nne, senegal.. wanapata
 
Penati ya nne tanzania.. wanakosa
 
Back
Top Bottom