Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia
TANZANIA NA SENEGAL-U17
Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani ukweli usemwe..
lakini fainal ni fainal yeyote anaweza akashinda
Nipo moroco hotel kinondoni naangalia mpira kwenye banda umiza
Nitawapa matokeo pamoja na updates za mechi zinavyoenda
Kwa macho yangu ya nyama hapa uwanjani moroco mechi ni ngumu sana upande wetu TANZANIA U17
TUNAKUMBUSHANA TU MAMA YUPO URUSI NA AMETOA MILLION 500.. hawa vijana washinde wasishinde hizo pesa wanapokea ila wakishinda kuna zawad zingine wataongezewa
Tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini. Isije kuwa uko zako huko kiwalani kwenye chumba chako cha kupanga jirani na adriz unafuatilia mechi mubashara kwenye TV.
Tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini. Isije kuwa huko zako huko kiwalani kwenye chumba chako cha kupanga jirani na adriz unafuatilia mechi mubashara kwenye TV.