Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Kama mlichukua lodge ya elfu 10 mtapataje maji ya uhakika..ki ukweli sema hujapenda kuhamishwa Dar...hapo kuna mpaka BOT utasemaje huduma za kibenki chache..
Yote kwa yote ngoja upate Kidume cha Kimakonde utasahua yoote.
 
Khouthary pale maduka makubwa ule mgahawa wanapika vizuri. Sijui km bado upi au laah,. Pia nyuma ya ile sheli ya karibu ya Nmb nyuma kulikuwa na mgahawa wanapika vizuri.
 
Kama mlichukua lodge ya elfu 10 mtapataje maji ya uhakika..ki ukweli sema hujapenda kuhamishwa Dar...hapo kuna mpaka BOT utasemaje huduma za kibenki chache..
Yote kwa yote ngoja upate Kidume cha Kimakonde utasahua yoote.
Wanaume wa kimakonde ni wambea sana wanaongea na kushushua kama wanawake!
Ndo maana hata sikushangai unavyobwabwaja hapa
 
Huko Gas Iliufanya Mkoa Uwe Na Wawekezaji Tele. Walipogundua Ni Ulaghai Sasa Hivi Zii
 
Mimi nimeshafika sana huko kanda ya ziwa yote na sio kila msukuma ana ng'ombe....njoo huku vijiji vya kilwa uone wasukuma tunavyowapa kula maua ya ufuta kwa bei ya 1000 kwa kilo hiyo yote ni kutokana na umaskini wao
 
Ulimbukeni kama huu ndio unanishangazaga....Apo ukute Dsm anakaa sweken huko Kifuru
 
Tatizo si Serikali
Tangu zama za kale waliukataa mguu wa Yesu wakati unapita.
Cheki sehemu mguu wa Yesu ulipotua...ndio utaona tofauti.
 
Mimi nimeshafika sana huko kanda ya ziwa yote na sio kila msukuma ana ng'ombe....njoo huku vijiji vya kilwa uone wasukuma tunavyowapa kula maua ya ufuta kwa bei ya 1000 kwa kilo hiyo yote ni kutokana na umaskini wao
Nipo liwale nasubiri msimu uje nianze kula Maua huku nasubiri kuwa chomachoma
 
Nipo liwale nasubiri msimu uje nianze kula Maua huku nasubiri kuwa chomachoma
Aisee kwa wamagingo huko mwaka jana nilikuwa na kituo hapo cha kukununulia ufuta ngumbu karibu na kibutuka,, ila Tembo walikuwa wengi mno huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…