Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Mikoa yote inafanana Tu kama Akili yako umeipanga izoee mazingira utaweza kuishi popote
Unataka uishi kama upo DAR hapo ni kujidanganya, TANZANIA bado Sana hasa Huko mikoani hata hiyo DAR nayo imechoka sanaa sioni utofauti na mikoani tu
Stupid

Cc SIPENDI SIASA
 
Naskia hata na saivi kipindi cha kiangazi ndoo inauzwa buku hadi buku jero
Sasa hivi kitu napewa bure ni mingoko mkuu😁 mambo yamebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…