Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

2015 mkuu, Alafu mbele kule km unatokea Bima kwenda ile road ya uwanja wa nangwanda kuna sehemu wanauza maji ya nanda ndoo elfu 2000. Sijui kwa hivi sasa ila wale ndanda water walikuwa wanaleta maji kutoka huko ndanda na kutuuzia pale.
Uliza km bado huo utaratibu bado upo.
Naskia hata na saivi kipindi cha kiangazi ndoo inauzwa buku hadi buku jero
Sasa hivi kitu napewa bure ni mingoko mkuu😁 mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom