Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Hajui huyu, kipindi hicho ndo watu walikuwa wanapelekwa Mtawara kama adhabu.....siyo leo mtawara imekuwa sebuleni tu hapo.
Yah ilikuwa adhabu tosha tena sasaivi bila tochi za barabarani mtwara ulikuwa unaingia saa saba kipindi iko machinga buti la zungu na maningnice wanashinda saa saba mtu kashafika na ni njia ambayo ajari zake sio nyingi sana
 
Ww utanifunza nini bablai!!
Huna unachokijua!kuishi kwako mtwara kusifanye ukabisha mambo ambayo ni fact...
Sina chakukufunza for sure walio takiwa kukufunza ni wazazi wako ambao walitakiwa kukufunza ili uweze kuishi sehemu yoyote kwa mazingira yoyote boss
 
Nataka huduma za kijamii ziwe zinapatikna 24/7
Miundombinu iwe rafiki..watu wasifanye biashara kwa mazoea
Mtu unafunga duka saa 1 magharibi unamaanisha nini?
Ni nadra sana huku kukukuta wakala saa 3 amefungua nadra sana na ni wachache mno wanahesabika
Sababu zako zote hazina mashiko ya kupafanya mtwara paonekane pagumu, ni swala la kuzoea na kupanga ratiba zako vizuri. Hata Dar hupati huduma za kijamii masaa 24 hapo nje ya geti lako, lazima ujipange na kuzifuata hata zaidi ya kilometa tano.
 
Sina chakukufunza for sure walio takiwa kukufunza ni wazazi wako ambao walitakiwa kukufunza ili uweze kuishi sehemu yoyote kwa mazingira yoyote boss
Mazingira yoyote!!!like seriously...
Umeelewa ulichokiandika!
 
Embu soma uzi kwanza!uelewe main point
nimesoma nimeelewa nikajikita kwa ushauri wa accomodation tu, masula/kero umeongelea mengine nitakupa ushauri baadaye (huduma za kifedha, Chakula, gharama za maisha, boredom), experience yangu ya MTWARA ni mji mzuri sana, ingawa ni relatively expensive kuliko Kwa Chalamila ulikotoka)
 
Nishasema kutoa hoja kwa jazba wengine hatuwezagi kaka Mnachihanguuu watu huwa hawabishani kwa matusi. Kigoma kwetu ni wabishi sana lakini sio kwa matusi. Kutumia matusi ni dalili za kwamba unaambiwa ukweli na huwezi kujitetea. Namkubali Mwachiluwi ni mwelewa
 
Mimi naamini kila sehemu nzuri muhimu ni kuikubali mm nipo sehemu ambapo kwenda mjini ukitembea kwa mguu unakutana na tembo ukikaa vibaya simba so ni kuaccept tu
 
Ndio kuna sehemu umesema ujazoea shida? Uongo
Siwezi kuji underrate of coz..shida haizoeleki..na ukisema ww unaweza kuishi "mazingira yoyote" huo ni uongo..utaongea kufurahisha moyo wako tu ila ukweli unaujua ww!
 
Kusema mtwara maji shida kwamba wanategemea maji ya mvuo ni uongo

Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka

Viwanja vipo vingi sana ujatembea kuna leopard pili msimbati ukienda utatamni kwenda kila siku

Chakula kuwa shida ni uongo sema huna hela ni kweli vitu viko juu sana ila pesa yake kuipata sio ngumu kama unajua kutafuta pesa ila kama unategemea mshahara mtwara hapakufai toka

Kusema saa tatu watu hamna ni kweli watu wa mtwara wanapenda kutulia sana hasa nyakati za usiku mwisho saa moja kutokana na alshababu kuvamia wanaotoka msumbiji ndio maana now mtwara ukitaka kutembea tembea na batua ya utambulisho wa mtaa wako ukikutwa na polis usiku unabebwa kama ulivyo unahisiwa wewe ni alshababu so watu wanakaa majumbani kwasababu
Sasa unabisha nini mkuu na ulichoandika umethibitisha ni kweli?
Ni sawa na Masai anayetuhumiwa kuiba ng'ombe, na anakataa. Halafu akipewa nafasi ya kumuuliza mshtaki maswali, anauliza: "hiyo siku nilikuwa nimevaa shuka au sijavaa?"

Mshitaki anajibu "ulivaa" na Masai anasema "hapo umepata!"
 
Mimi naamini kila sehemu nzuri muhimu ni kuikubali mm nipo sehemu ambapo kwenda mjini ukitembea kwa mguu unakutana na tembo ukikaa vibaya simba so ni kuaccept tu
kuna location watu wanaishi jijini kwa CHALAMILA ni HELL life, kuliko watu wanaishi mikoani MTWARA, SONGEA etc, utashangaa the same person akienda mkoani anataka mazingira yawe kama ya Masaki, O/bay, Msasani, kunduchi etc, that is ridiculous!
 
Ndio shida iliopo kwa mtoa mada alitaka pawe kama kinondoni au ilala
 
Back
Top Bottom