Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Pole sana mkuu, itakuwa umeshukia upande mbovu wa mji.

Ila mtwara pako vyedi tu , kuna hoteli safi na Beach kali tu.

Tafuta wenyeji wa kueleweka.
Sijazungumzia hotel wala beach..No.
Nimezungumzia maisha ya hapa panapoitwa mjini na changamoto zake.
 
Sehemu yoyote walikojazana wavaa makobazi na vibagarashia ni kama jehanamu hapo bado mashehe hawajaanza vituko vyao vya kuingia kwako milango ikiwa imefungwa
Mnyarwanda Huyu Ndio Maana 1994 Mlichinjana Kama Nguruwe
 
Nyumba ya khawa ghasia si inatai juu kwenye get lake? Au
Pili mimi sijakudharau ila kuna vitu umeviongea hapo sio kweli kwa 2012 up 2017 kulikuwa kushaanza changamka maji hayaku ya shida ivyo isipokuwa maji ya kunywa mtwara ni ya chumvi that why wana keep maji ya mvua
Nyumba ya Ghasia ipo karibu na shule ya Kambarage, hiyo uisemayo yenye tai getini ni ya Askari Magereza.
 
Anayo ongea mtoa mada ni kweli tupu mtwara sio mkoa ule ni kijiji kilichopewa hadhi ya mkoa

MTWARA SASA HIVI WAPO MWAKA 1997 WAKATI MIKOA MINGINE IPO 2025

KULE KAMA NI MFANYAKAZI WA SERIKALI UNAKUFA NJAAA

ILA UKIPATA GAP LA KUPIGA HELA UNAPIGA KWELI.

KWELI CHAKULA NI JUU WAZEEE WANGU . BAHARI IPO HAPO LAKIN SAMAKI UTASHANGAAA BEI NI KUBWA KUKIKO MBEYA AMBAPO HAKUNA BAHARI.

NAULI ZINA COAST SANA MANA NI BODA BODA TU

ALAFU WANATAMAA UTASIKIA KUTOKA MKANALED HADI MANGAMBA BUKU 2 YANI NENDA RUDI NI BUKU 4 WAKATI KUNGEKUWA NA DALADALA INGEKUWA NENDA RUDI NI BUKU TU.

ndizi za elfu 2 ni ndizi nne tu mpaka tano bukoba wakati maneo mengine hizo ni ndizi za buku

Ndizi za kuiva mnazonunua huko dar 200 hadi 150 huku mtwara ndizi ni 400 mpaka 500

Lakin kikubwa huku hakuna mazao ya kula mana huku wanalima korosho na ufuta pamoja na mbaazi tu

Mtwara maisha magumu zaidi ya jangwani au kuzimu.

Picha linaanza maji yao ya chumvi ! Ukitaka ya kunywa uwe na kisima chako ukinge ya mvua au ununue maji ndanda ndoo kubwa elfu 2.

Alafu kingine mtwara vijana wanaroga sana maninaaaaa
 
Mkuu umesahau swala la miundombinu...
Yani maeneo mengi ni vumbi tupu!
Ila wenye mji wao wanasema ni uongo..
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
picha zikowapi
 
Anayo ongea mtoa mada ni kweli tupu mtwara sio mkoa ule ni kijiji kilichopewa hadhi ya mkoa

MTWARA SASA HIVI WAPO MWAKA 1997 WAKATI MIKOA MINGINE IPO 2025

KULE KAMA NI MFANYAKAZI WA SERIKALI UNAKUFA NJAAA

ILA UKIPATA GAP LA KUPIGA HELA UNAPIGA KWELI.

KWELI CHAKULA NI JUU WAZEEE WANGU . BAHARI IPO HAPO LAKIN SAMAKI UTASHANGAAA BEI NI KUBWA KUKIKO MBEYA AMBAPO HAKUNA BAHARI.

NAULI ZINA COAST SANA MANA NI BODA BODA TU

ALAFU WANATAMAA UTASIKIA KUTOKA MKANALED HADI MANGAMBA BUKU 2 YANI NENDA RUDI NI BUKU 4 WAKATI KUNGEKUWA NA DALADALA INGEKUWA NENDA RUDI NI BUKU TU.

ndizi za elfu 2 ni ndizi nne tu mpaka tano bukoba wakati maneo mengine hizo ni ndizi za buku

Ndizi za kuiva mnazonunua huko dar 200 hadi 150 huku mtwara ndizi ni 400 mpaka 500

Lakin kikubwa huku hakuna mazao ya kula mana huku wanalima korosho na ufuta pamoja na mbaazi tu

Mtwara maisha magumu zaidi ya jangwani au kuzimu.

Picha linaanza maji yao ya chumvi ! Ukitaka ya kunywa uwe na kisima chako ukinge ya mvua au ununue maji ndanda ndoo kubwa elfu 2.

Alafu kingine mtwara vijana wanaroga sana maninaaaaa
Sasa kama chanzo cha maji baridi hakipo, ulitegemea yatumike maji gani tena?.

Kwa upande wa shida ya maji, mtoa mada yupo sahihi kabisa hasa kwa miezi ya hivi karibuni. Manispaa inajaribu kuachana na mfumo wa mkoloni wa kuchakata maji na kuhamia kwenye mfumo mpya ambao nahisi utakuwa umeelemewa au una hitilafu kwa kipindi hiki, hali ambayo inapelekea Kata nyingi kukosa maji hata kwa wiki 2.
 
Mwaka gani ilikuwa! Mbona sija experience hicho kitu!.na niko ligula?
2015 mkuu, Alafu mbele kule km unatokea Bima kwenda ile road ya uwanja wa nangwanda kuna sehemu wanauza maji ya nanda ndoo elfu 2000. Sijui kwa hivi sasa ila wale ndanda water walikuwa wanaleta maji kutoka huko ndanda na kutuuzia pale.
Uliza km bado huo utaratibu bado upo.
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Njoo MARA
 
Mimi naungana na shemeji kusema “utazoea tu”. Itakuchukua muda ila kuna siku utashangaa umeshapazoea kabisa.
Mkoa wa kwenu wewe ni upi? Isije kuwa unawananga kina njomba nsumari kumbe afadhali hata huko, wewe zoea na muda si mwingi utaanza kuongea kama wao ,baaa mwaaali wewe
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Uko Mtwara sehemu gani? Mgeni mwenzio tufarijiane
 
Kusema mtwara maji shida kwamba wanategemea maji ya mvuo ni uongo

Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka

Viwanja vipo vingi sana ujatembea kuna leopard pili msimbati ukienda utatamni kwenda kila siku

Chakula kuwa shida ni uongo sema huna hela ni kweli vitu viko juu sana ila pesa yake kuipata sio ngumu kama unajua kutafuta pesa ila kama unategemea mshahara mtwara hapakufai toka

Kusema saa tatu watu hamna ni kweli watu wa mtwara wanapenda kutulia sana hasa nyakati za usiku mwisho saa moja kutokana na alshababu kuvamia wanaotoka msumbiji ndio maana now mtwara ukitaka kutembea tembea na batua ya utambulisho wa mtaa wako ukikutwa na polis usiku unabebwa kama ulivyo unahisiwa wewe ni alshababu so watu wanakaa majumbani kwasababu
Lazima utegemee mshahara tatizo ukifanya kitu extra unarogwa
 
Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Tochi.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Ondoka huko shangani
 
Kwa sisi ambao tumetembea sehemu nyingi hii nchi,karibia Kila sehemu kunafanana fanana. Mabadiliko ni machache mno mkoa kwa mkoa. Na mtwara imepazidi sehemu nyingi tu siyo kubaya kihivyo.

Kuna dada yeye ametokea kupachukia Dodoma vibaya mno. Ukimsikia anavyopaponda Dodoma unaweza sema huko mahali ni kuzimu na wanaoishi huko ni mashetani.

Dodoma hii hii ambayo Kuna nyuzi kibao humu ndani zinapasifia Kuna/kumejengeka.
Huyo atakuwa na yake tu au ndiyo wale wanaona bila kuishi Dar basi yeye ni shida tu. Dodoma kinachokera kwa baadhi ya sehemu maji hayatoki kila siku. Unaweza kukuta yanatoka mara 2 au 3 kwa wiki. Lakini kuna baadhi ya maeneo maji yanatoka 24/7. Kitu kingine ni miezi ile ya kiangazi kuna vumbi na upepo balaa!!!! But generally pako ok tu.
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Umefikia Mtwara mjini ama vijijini, mbona yote unayosema kuhusu Mtwara si kweli?
 
Back
Top Bottom