Mkuu, we vumilia tu, maana maumivu yake nayajua.
Sijui hata wanatokea wapi.Mnatoa wapi watu wabishi hivi?🤔
Kabisa. Katika maisha haya mafupi ya duniani usipende kulazimishwa kutumia lugha iliyotengenezwa na watu kama wewe, tena wa zamani.Yupo sahihi.
Uncle hawezi kuwa baba mdogo.
Small father ndio Sahihi.
Uncle ni mjomba
Kama hamtaki, njoeni mniue 😎
Takbir ⚔️Kabisa. Katika maisha haya mafupi ya duniani usipende kulazimishwa kutumia lugha iliyotengenezwa na watu kama wewe, tena wa zamani.
Ndo maana sometimes Mimi huamua kutumia msamiati niupendao hata kama haupo.