Nipo na " Mstudy" Lissu kwenye laboratory yangu. Bado sijamuelewa vizuri huyu kiumbe

Nipo na " Mstudy" Lissu kwenye laboratory yangu. Bado sijamuelewa vizuri huyu kiumbe

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Na mstudy Lissu kwenye maabara yangu. Bado sijaelewa ni kiumbe wa namna gani...

Hafanyi vitu vya ajabu sana lakini still bado ana nguvu kubwa sana ya watu wanao mpenda na kumkubali. Watu wa dini zote itikadi zote..

Pia anaonekana ni mtu ambae ukishindana nae, inaibuka nguvu isiyo onekana kumtetea na mwisho wa siku wewe ndio unashindwa...

Nilitaka kuamini kwamba huu upendo walio nao watu kwa Lissu ni kwa sababu ni just sympathy ya yeye kushambuliwa kwa risasi but niki tazama matokeo yanayo ashiria nguvu isiyo onekana IPO upande wake, nabadilisha mtazamo..

Meanwhile bado nina fanyia kazi equations mbili below: 👇👇👇

1. Alivyo pigwa risasi mwaka 2017, nafsi ya Lissu ili depart ( iliuacha mwili wa Lissu na kurejea kwa baba) and on his behalf ikaja nafsi ya kiumbe mwingine wa kiroho kuja kuhuisha mwili wa Lissu ambao ulikuwa tayari ume staafu kuishi kufuatia shambulio lile. This means that huyu tunae muona huenda akawa ni kiumbe mwingine ndani ya mwili wa Lissu maana sio kwa ujasiri huo na nguvu hiyo aliyo nayo huyu mtu.


2. Lile shambulio la 2017 may be it was the creator telling the universe that " This is my choice". Kwamba malaika wanao hudumu anga la Tanzania, walimuuliza Mungu, tuonyeshe ni nani atae iokoa nchi hii, Mungu akamsonta Lissu, ile nguvu ya Mungu kwenye kitendo chakumsonta Lissu ndio hiyo ikasababisha Lissu kupigwa Risasi na nguvu hiyo hiyo ikafanya asife. ( Elewa concept hii kwa story ya Mwanamalundi alikuwa akiusonta mti unakauka)


Bado naendelea ku mstudy Lissu.
 
Hahaha unaambiwa hata ulete watafiti WA zamani uwape MAMILIONI utashangaa wanna kurudishia HELA Yako HUKU wana tikisa kichwa no no this thing is inviscible
 
ni desturi yetu chama cha mapinduzi kushinda na kuikamata dola milele dogo
 
No reforms no election
Ngoma inaridhima hadi kizimkazi kwa makungwi wote wanaitika
NO REFORMS NO ELECTION
Viva Tundu Lissu viva
 
Back
Top Bottom