Nipo na tatizo la kuwa na damu nyingi

Nipo na tatizo la kuwa na damu nyingi

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
379
HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
 
Inakutesaje ebu sema ili usaidiwe na wanazengo
 
Nenda hospital ya karibu uchangie, itakusaidia wewe na itasaidia wengine pia. Kuhusu kuleta tatizo ukichangia, tatizo gani?
 
Huyo daktari aliyekwambia tatizo lako ilibidi akuelekeze na namna nzuri ya kitabibu ya kusolve...

Ila ngoja nikuitie wengine wapo humu DR Mambo Jambo Dr Matola PhD Dr Restart Dr am 4 real PhD DR HAYA LAND Dr Adam Francis Dr Akili
😁☺️ Juzi Kati nimeitwa DR. Manyau nyau na MamaSamia2025 .

Haituchoshi kutumia ujuzi na taaluma kusaidia watu kwa kadri ya tunavyo WEZA.

Kwa ufupi Sana maana mdau kasema hataki ku donate damu KABLA ya kufanya maelekezo yangu apime WINGI wa damu KABLA then baada ya haya maelekezo after mwezi kupita,
so Aanze na mazoezi ahakikishe kama ni kukimbia,kutembea ama kulima ahakikishe MWILI UNATOA/ UNAVUJA JASHO JINGI.

Atumie ROSUVASTATIN YA 10MG AMA 20MG kwa muda wa mwezi mmoja itamsaidia kwenye mambo ya blood cholesterol aitumie kwa muda wa one month.

Pia aepuke kula vyakula vinnavyo ongeza damu kwa haraka Sana Sanaa kuna vyakula na matunda unatakiwa/ anatakiwa aviepuke then after one months atakua sawa.

Haya ni kwa uchache ngoja niendelee na kazi zangu hapa mpaka WAKATI mwingine.
Tchao.
 
Nadhani hiyo ni polycythemia... Ushauri wangu kaonane na Hematologist... Maana huwezi ku manage mgonjwa bila kumuona na kuwa na history ya kutosha.
 
Mkuu
Umeniwahi sekunde 2 kama si 1......labda atuambie alivyoambiwa na Daktari wake inaleta shida/tatizo Gani...
Nenda hospital ya karibu uchangie, itakusaidia wewe na itasaidia wengine pia. Kuhusu kuleta tatizo ukichangia, tatizo gani?
 
😁☺️ Juzi Kati nimeitwa DR. Manyau nyau na MamaSamia2025 .

Haituchoshi kutumia ujuzi na taaluma kusaidia watu kwa kadri ya tunavyo WEZA.

Kwa ufupi Sana maana mdau kasema hataki ku donate damu KABLA ya kufanya maelekezo yangu apime WINGI wa damu KABLA then baada ya haya maelekezo after mwezi kupita,
so Aanze na mazoezi ahakikishe kama ni kukimbia,kutembea ama kulima ahakikishe MWILI UNATOA/ UNAVUJA JASHO JINGI.

Atumie ROSUVASTATIN YA 10MG AMA 20MG kwa muda wa mwezi mmoja itamsaidia kwenye mambo ya blood cholesterol aitumie kwa muda wa one month.

Pia aepuke kula vyakula vinnavyo ongeza damu kwa haraka Sana Sanaa kuna vyakula na matunda unatakiwa/ anatakiwa aviepuke then after one months atakua sawa.

Haya ni kwa uchache ngoja niendelee na kazi zangu hapa mpaka WAKATI mwingine.
Tchao.
Kwa maelezo uliyoyatoa inaashiria wewe sio Dr Manyaunyau. Nafuta kauli 😀😀
 
HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
Damu nyingi vipi umeoa?
 
Pamoja mkuu☺️
Kuna huu uzi niliandika nipate maoni yenu wataalamu kuhusu kutumia viagra kwenye mazoezi. Tafadhali kama unajua lolote comment kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Back
Top Bottom