Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Upo sahihi Ila wengine hatupo katika ajira rasmi kwa sasa Ila tunapenda Sana kutumia hazina zetu kuisaidia nchi hivyo muda mwingine huwa tunatumia social networks as a platform kukutana na recruitersHiyo Idara haijawahi kuajiri Kwa kutangaza nafasi za kazi isipokuwa huko huko Ulipo unaweza kujikuta wameku-recruit.
Staff wenzako wanaweza kudhani umepata scholarship ya kwenda India kuongeza Ujuzi kumbe upo Mjini kati ukiendelea kunolewa.
Ukirudi kwenye kituo chako cha kazi cha awali unakutana na barua yako ya kuhamishwa kituo ili ukaanze kutumikia Ofisi mpya 🙌
Mkuu kwenye lile Pdf la Viongozi wa TANU Babu yako alikuwemo?Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.
Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.
Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Hongera sana Mkuu kwa kujitambua na kuonesha Uzalendo.Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.
Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.
Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Hongera sana Mkuu kwa kujitambua na kuonesha Uzalendo.
Umri wako???
Hii kazi wakikutaka wenyewe hata kama ulishaanza kazi sehemu flan na una watoto na familia kabisa wanakuchukua tu! Huwa hazitangazwi na wala huwezi sikia popote!
Nakataa!Connection kwa zaidi ya 90% bila hivyo ni ngumu.
Connection kwa zaidi ya 90% bila hivyo ni ngumu.
EtyKirahisi hvo?
Ebu ntumie ratiba ya SGR dar Moro Leo
The big thing is to be patriotic and nothing elseLazima uwe UV CCM