Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.

I hold this qualifications.

Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.

Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya.

Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.

Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.

Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
 
Kuhusu ELIMU nimesoma hadi shahada Ila Mimi naamini katika uwezo binafsi wa kujijenga.

Pia Mimi naamini katika falsafa ya kuendelea kuwa mwanafunzi kila siku ndo njia yakuendelea kuwa bora.
 
Hiyo Idara haijawahi kuajiri Kwa kutangaza nafasi za kazi isipokuwa huko huko Ulipo unaweza kujikuta wameku-recruit.

Staff wenzako wanaweza kudhani umepata scholarship ya kwenda India kuongeza Ujuzi kumbe upo Mjini kati ukiendelea kunolewa.

Ukirudi kwenye kituo chako cha kazi cha awali unakutana na barua yako ya kuhamishwa kituo ili ukaanze kutumikia Ofisi mpya 🙌
 
Upo sahihi Ila wengine hatupo katika ajira rasmi kwa sasa Ila tunapenda Sana kutumia hazina zetu kuisaidia nchi hivyo muda mwingine huwa tunatumia social networks as a platform kukutana na recruiters
 
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.

I hold this qualifications

Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.

Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya

Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.

Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.

Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Mkuu kwenye lile Pdf la Viongozi wa TANU Babu yako alikuwemo?
 
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.

I hold this qualifications

Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.

Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya

Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.

Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.

Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Hongera sana Mkuu kwa kujitambua na kuonesha Uzalendo.
 
Back
Top Bottom